Page 16 - Quran inTakafitu
P. 16
SURATUL FATIHA*

Imeilwa kwa jina lukufu hili kwa ajlli Ya mnasaba wake na muwafaka wake kwani lamko
la "Faliha" katika Kiarabu maana yake ni chan:o (mwanzo) eha kila kilu kile - kikiwa
maneno au kitendo. Basi hii Suralu/ Fatlha ndiyo dibliji na ooio ulangulizi we Qurani.

Wakatl wa Kuteremka Kwake:
Imeleremka Sura hii mwanzo wa kuja Ulume. Na hii ndiyo Sura ya awali kUleremkll

kamili. Kabla yake zilileremka AY!I Aya lu zilizomo kalika Sura ya Iqrl.1a na Suratul Mud~
daththir na Suratul Muzzammll.

Yallyo Ndanl Yake:
Hii ni dua Mwenyezi Mungu anamwamrisha kuomba kila anayeanza kujifundlshll

kuk'ijua kitabu ehake. Muradi Wake ajikurubishe mlu kwa Mwenyezi Mungu kwa dua hU kl:lq~
ya kukianza kukisoma hiki kitabu chakc: ikiwa kweli anataka kupala faida ndani yake.

Na ni labia ya. Binadamu kuwa haombi lIa kile kinachotakiwa na moyowake: wale
hamwombi Ha yule ambaye ana hakika kuwa kitu hicho kiko mikononi mwake. Imekuwa hapa
Mwenyezi Mungu anamfundisha mwanaadamu - kwa dua hii anayoisomu mwanzo wakita\;)u
chake - kuwa akikisoma kitabu hiki akisome kwa nia ya kUlaka aongozwe njia iliyonyoka,
aongolewe vizuri aongoke. Na ajue k\jwamsingi wa kujulia atakayoyajua ni Mwenyezi Munglt.
Basi aanze kusoma kilabu hiki kwa -kumwomba Mwenyezi Mungu Uongofu na Hidaya.

Ukifahamu haya utaona kuwa hii Suratul Fatiha si utangulizi khasa wala dibaji ya
Qurani, kama zile dibaji 7..a vitabu vyengine. Lakini bainu yake hii Faliha na Ourani ynle nzim!,
ni kama dun na jawabu. Hii Faliha ni dua inayolokana na mja kumwomba Mola wake, na
Ourani nzima ni Jawabu ya Mola kumjibu mja Wake. Yeye kamwambia Mwenyezi Mungu
"Niongowc''; na Mw~nyezi Mungu kamwambia "Hull Uwongofu wako, ufuale. "Basi. nalufuale
kila kilichomo ndani ya hii Ourani iii luwe' lumekwisha kuongoka kama tulivyoornba
lUllngolewe.

Qurillli lukufu. kwa ajili ya kusahilishwa. imcgawullywa mafungu 1lliIlalhini, ambayo karibu yallafamllla

urefu wake. Kila fungu huilwa "Juzuu". Katika Qurani ziko Sura 114. kila Sura ilipewa jina l1a kuwekwa mahali iIi"o

na mwenyewe Mlumc s.a,w. SUn! ni fungu la manenll Icnyc mwanzo na mwisho. Sura ziko kubwa na ndogo. Nll

uthache wa iliyo ndogo kabisa ni kukusanya Aya taw. Jina fa Sura ghalibu hufuwala kilu au jambo lililOlajwa nilani
yake: kama Suraful·Baqarah (Sura ya Ng'ombel; imeilwa kwa jina hili ~wa sababu ya kUlajwa kisa eha ng:ombe wa

Bani Israil ndani yake.

Sum hiiilla majina mCllgi. zaidi inajulikulla kwu jin
Qur;inil. Nil huitwu pia .Suralus. Salaal (Sum yil Kusalial. Assab'u(· Mafhani (Ay" s;lba zinazllsomwumaru kwi,

mara kalikil Salill. Ummul-Quran (Asli Yil Qurulli au Msingi wa Quranil. Na imcilwa kwa jill;! hili kwasababu

.imekusullya kWil ufupi Muntdi wa Qunmi nzima. Quruni imekuslIIlYu mambo malallo: tal Tawhid, yaani kUllillini

kuwa Mwtllyczi Mungu IIi Mm(~". na Ndiyc Peke Yakc wa kuabudiwa: (bl Kufu!ld~~ha Willu namna yakumwubUdu

Mwenycli MUllgu: (e) KuWaO!lgolU wal.u killika IUiu ilakaynwatikisha kwcnyc wcma wa duniani na Akhcra; (d}

!:,uwafunulia walU malipo merna kwa wanaofanya merna. na malipo mabaya kwa wanaofanya mabaya; na (el KUW3pa

hahMi Z3 walu waliotangulill. mllba~) walishikamalla 11;1 mambo mcm'l waliyn;lmrishw(l lIa Mwcnyczi Mungu. nll

habari za walillkhalifu amri Zake wakafanya maovu, na mwisllO wa kila mmoja kalika makundi mawili hayo, iii :walU

wapale kuzlngalia waaehe mabaya na wafanye mazuri. You: haya yamo kalika Sura hii. pamoja na ufupi wake. Kwa.

hivyo Sura hii lmekuwa lukufu sana. ndiYll ikafanywa ni Surci ya kusalia ambayo hapana Sura nyengine inaynweza

kuwa badili yake. kama ulakavyoona. . .
   11   12   13   14   15   16   17   18   19   20   21