Page 21 - Quran inTakafitu
P. 21
UU I AI BAQARAH (2) AUF LAM MYM

Na lamko la Taasyn limclumika mara mola kwenyc SU"onln Naml iliyoteremka Makka iliyo kwenye Juzuu ya

IVaqalalladhynv..

Na tamko la Taasyn mvm limetumika katika Sura ml;i1i: (I) Katika SuralUsh Shuaraa iliYllteremka Makka iliyo

. kwenye Juzuu ya Waqalalladhyna; (2) Kalikll S'uralul Qasas iliyoteremka Makka kwenye Juzuu ya Ammarf
Khalaq.

Na tamko la Qa/ tupu limetumika mara moja katika Sural Qaf iliYnleremka Makka ili),o kwenye luzuu ya Haa

Mym.
Na tamko 1a Ka/ Haa Yaa Ayn Sad limetumika mara moia btik~ Sural Maryam iliyoteremka Makka iliyo

kalika Juzuu ya Qala Alam.

Na tamko la Nun tupu Iimetumika mara moja kwenye Surawl Qalam iliyoteremka Makka iliyo kwcnye Juzuu

ya Tabaarak. •

Na tamko la Yaasj'n imetumika mara Inoja katika Sural f'aasl'n il*'oteremka Makka !Iiyo kwenye Juzuu ya

Wama>! l'aqnul.

4. Tamko la "na yaliyoleremshwa kabla yako" ni la kuonycsha kuwa Muislamu Hana ruhusa kuamini kuwa

Mwenyezi Mungu alamtercmshia Utume mtu mwengine BAADA ya Nabii Muhammad. Mill akiwaamini hao

waongo wanaosema kuwa wamepewa Illume BAADA ya Nahii Muhammad, basi IOIU huyo atakuwa kafrr! tu.
Wameipotoa lafsiri ya Aya ya 5 (kwa mpango wao, na ya 4 kwa mpango wa dasluri). Wameipindua tafsiri ya

tamko la Wabil-Aakhirac. Tafsiri yake khasa inayokubaliwa na wafasiri wote ni kuwa "Wanaiamini Akhera."

Wan wamefasiri "wana yakini na yale yatakayokuia baadaye"

Wao Makadiani katika mwar,zo wa tafsiri yao (VIII) wametaja chu!1gu ya vitabu vya tafsiri ya Quran
walivyovisoma hata wakafasirihii t~fsiri ),ao, kama wanavyojidai. Basi nawatazame humo, kama Watamwona mmoja

katika hao . - na wengine kafasiri hivi walivyoiasu-i wao, In katika Aya hii wala Aya nyingine ...0 zote zilizotaja
lamko la ~'AI Aakhira" katika Quran. Tamko hili limetaiwa katika Sura.:

1. AI Baqa rah Mara 10 20. iln Naml Mara 3
Mara :3
2. Aali Imran Mara 9 2l. AI Qasas Mara 3
Mara 3 Mara
3· An Nisaa Mara 3 22. AI Ankabul Mara :2
4· AI Maida Mara 3 Mara
Mara 4 23· Ar Rum Mara 2
s· AI An"'am Mara 24· Luqmal1 Mara
25· AI Ahzab Mara 3
6. Al Aara/ Mara 4 26. )11 baa Mara 3
Mara Mara
7· AI An/al 27 A: Zum,;r Mara 1.
8. Al Ta'Wba Mara 4 28 Al Mllumm Mara
Mara 4 "-n~ Fussil611 Mara 3
9. Yunus Mara :2 30. Ashshuuraa Mara
10. Hud MIlI4 I
Mara 1. ]1. An Naim Mara 2
II. l'usu/ p. AI lIadid Mara
12. Ar Raad Mara 7
Mara 6 .H- AI Hashr
13· Ibrahim 34· AI Mumtahma
14· An Naltl Mara I 35· AI Muddalhlhir
15· AI Israa 36. AI Qiyama
16. Taha Mara 2
37· AI Layl
17· AI Ha.i Mara 2
18. AI Muumimm
Mara 3
19· An Nur

Hizi .Iakriba ndizo mara zote ilipotajwa tamko la "AI Aakhiral". Na mara zote hiza muradi wake ni siku ya
Kiarna, kama wafasiri wote walivyofasiri na kama ilivyo' dhahiri ukitazama hala wewe mwenyewe. Na kama
walivyofasiri wao pia kwa kuw~ Mwenyezi Mungu analaka kuwahizi wahizike. Na wamehizika. Hii moja \U ya

mwanzondiya wameipotezea tafsiri yake ili hi.zaya iwalike.
AI Aakhiral mbili tu ya Sural Sad 1l~ SuralUn Nazlal - ndizo zilizoweza kufasiriwa kwa Akhera na

Zinafasiriwa kwa jambo liliopil3 hivi karibuni; na AI Aakhiral ya mwamo katika Saralul lsrap' inayofasiriwa kwa
"wa mwisho." Lakini wao wamefasiri Al Aakhiral iliyoko mwanzo wa A I Baqarah kwa 'yalakayokuia baadaye;'
yaani UlUme wa baada ya Nabii Muhammad. Na tafsiri hii uwongo kabisa. Wakatia chini katika maelezo yake
sanifa 7 mSlari wa 32 "mcha Mungu ni yule allayeamini maneno yake yaliyoleremshwa katika kila zama na kila
nchi. Yaani Waislamu wakubali kila ukweli uliopatikana kabJa ya Uislamu, ukwdi uliopo na U1akaokuwapo

baadaye."
Waongo Makadiyani. Quran nzima inasema Waislamu waukubali Utume wa haki wa Nabii Muhammld nil Wa

waliopewa Utume KABLA yake; haijascma Quran kallu "waliopewa Utume 9AADA yake."

6
   16   17   18   19   20   21   22   23   24   25   26