Page 24 - Quran inTakafitu
P. 24
UU I AL BAQARAH (2) AUF LAM MYM

23. Na ikiwa mna shaka kwa hayo
tuliyomteremshia Mtumwa Wetu (kuwa
hakuteremshiwa na Mwenyezi Mungu), basi leteni
sura moja iliyofanywa na (mtu) ahye mfano wake, na
muwaite waungu wenu bighairi ya Mwenyezi Mungu
(wakusaidieni); ikiwa mnasema kweli.

24. Na msipofanya- na hakika hamtafanya

kamwe - basi uogopeni moto ambao kuni zake ni

watu na mawe. uliowekewa makafiri.


25. Na wabashirie walioamini na kufanya
vitendo vizuri, kwamba watapata mabustani ya­

pitayo mito mbele yake; kila mara watakapopewa
matunda humo kuwa Ili chakula watasema: "Haya
ndiyo yale tuliyopewa zamani (ulimwenguni)."
Kwani wataletewa (matunda hayo) hali ya kuwa
yamefanana (na yale waliyokuwa wakiya;uwa
ulimwenguni. Wataletewa kwa sura hiyo; lakini
utamu mwingine kabisa): na humo watapata wake
waliotakasika ena kila mabaya na machafu);· na
watakaa milele humo.

26. Hakika Mwenyezi Mungu haoni haya kutoa
mfano wowote wa mbuna ulio wa zaidi yake. Ama
wale wanaoamini, wao hujua ya kwamba hiyo ni
haki iliyotoka kwa Mola wao; lakini wale
waliokufuru husema: "Ni nini analotaka Mwenyezi
Mungu kwa mfano huu?" (Mwenyezi Mungu)
huwawachia wengi kupotea kwa mfanohuo na
huwaongoza wengi kwa mfano huo pia; lakini
hamwachii yo yOle kupolea kwa mfan~ huo (na
mwingineo) isipokuwa wale wavunjao amri (Zake).

wengine. Muradi wa maneno haya, katika Aya hii na nyinginezo, ni kuwa MwenyeziMungu Ameikun;ua Ardhi

hata viumbe wakaweza kuishi kwa raha na kufanya haja zao bila Ya taklifu juu yake. Na samaa hapa ni mawingu

kama yalivyotajwa katika sura nyengine kwa jina la sahab (mawingu). Sahab' ndiyo mawingu na samaa ni kila

kilicho juu yako. Basi tamko la samaa inapotajwa mvua lina maana ya We tamko Ia sahab. Siyo mvua .inalOka

mbinguni. Wenyewe kwa macho yelll tukipanda ndege (aeropl,ane) tunaiona haitoki mbinguni.


23. Makafiri walikuwa wakikar.usha Quran na kudai kuwa ni manenoyake yeye Muhammad, 5i maneno ya

Mungu. Basi hapa Mwenyezi Mungu Anawatahayarisha na kuwaambia kwamba Muhammad ni mwanadamu kama

nyinyi. Basi kama yeye ameweza kutunga maneno kama haya kwa nini nyinyi hamwezi? Jaribuni na muwaile hao

waungu wenu wakupeni msaada.


24. Hapil Mwenyezi Mungu Anawakat\Jl kuwa hawataweza kufanya hilo, na Anawatahadharisha na Adhabu

yake.


Wamesema kalika maelezo ya tafsiri ya Aya mbili hizi - walizozifanya kuwa ni 25 na 26 kuwa maisha ya

Akhera ni ya Kiroho Iu si ya Kiwiliwili.


Hivi sivyo unavyosema Uislamu. Uislamu unasema kuwa "Maisha ya Akhera ni ya Roho na Kiwiwili, si ya

Roho IU". Tamko gani liliowafahamisha katika Aya mbili hizi au nyinginezo - kuwa hayo ni maisha ya kiroho

Ill? Yo YOle anayeyasoma maneno ya Quran na ya Hadithi za Mlume anaona waziwazi kuwa yamekhusu roho na

kiwiliwili. Nawaluonyeshe NENO la Mwenyezi Mungu au Mlume Iinalosema kuwa maisha ya huko ni ya Kiroho

tu.


Basi kuamini kwao hivyo ni kinyume cha ilivyosema Quran na Hadithi za Mtume.

2 S. Kubashiria ni kuwapa khabari ya furaha.

26. Mwenyezi ,\\ungu alipowapigia mfano waungu wao batili kuwa (a) Hawawezi kuumba hata nzi bali hata

94
   19   20   21   22   23   24   25   26   27   28   29