Page 28 - Quran inTakafitu
P. 28
UU 2 At BAQARAH (2)
4 I. Na amlmm niliyoyateremsha ambayo
yanasadik,isha yaiiyo pamoja nanyi, wala msiwe wa
kwanza kuyakataa. Wala msiyauze maneno yangu
kwa ajili ya thamarii ndogo t.u (ya kilimwenguni); na
niogopeni Mimi m.
42, Wala msichanganye haki na batili, na
mkaficha haki, na hali mnajua.
43. Na simamisheni Sala (Enyi Mayahudi) na
toeni Zaka na inameni pamoja na wanaoinama (yaani
kuweni Waislamu).
44. Ie! Mnawaamrisha watu kutenda merna na
mnajisahau nafsi zenu, hali mnasoma Kitabu (cha
Mwenyezi Mungu kuwa kufanya hivyo ni vibaya)?
Basi je, hamfahamu?
45. N a jisaidieni (katika mambo yenu) kwa
kusubiri na kwa kusali; na kwa hakika jambo hi)o ni
gumu isipokuwa kwa wanyenyekevu
46. Ambao wana yakini ya kwamba watakutana
na Mola wao na ya kwamba watarejea Kwake.
47. Enyi kizazi cha Israili (Mayahudi)!
Kumbukeni neema zangu nilizokuneemesheni, na
nikakutukuzeni kuliko viumbe wengine (wa wakati
huo).
48. Na iogopeni Siku ambayo nafsi haitaifaa
nafsi nyingine cho chote, wala hayatakubaliwa kwake
(nafsi hiyo) maombezi (kama ataombewa), wala
hakitapokewa kikomboleo kwake; wala
hawatanusuriwa.
49. Na Ckumbukeni) Tulipokuokoeni kwa watu
wa Firauni waliokupeni adhabu mbaya;
wakiwachinja watoto wenu wanaume na kuwawacha
hai wanawake; na katika hayo Ckuokolewa huko)
ilipatikana neema kubwa iliyotoka kwa Mola wenu.
41. Ahadi waliyopewa Mayahudi katika Taunlti ni kuwa Mwenyezi Mungu Alawaletca Nabii Amlie Maneno
Yake katika kinywa chake,na awaambie kila alilomwusia; na Mwenyezi Mungu Akamleta Mlume MuhalJlmad
akawaambia kwa ulimi wake alilOlumwana Mwenyezi Mungu. Hili liml'lhibilisha yale yaliyosemwa katika Taurali,
kwa sababu hakuja Nabii mwengine aliyekuwa na· sifa hizo zilizomo katika T"urali. Kama Nabil' Muhammad
angekuwa muongo angeuliwa kama. ilivyosemwa kalika Mareiezo 18: 18· 22. Kwa kUlaka ulukufu wa
U1imwenguni Mayahudi walizikalaa dalili hizo wakazibadilisha kwa thamani ndogo,. wakaficha haki.
44· Baadhi ya wanavyuoni wa Kiyahudi wakisilimu jamaa zao wakapata habari, huwaendea kwa SIfl
wakawaambia 'Dini hii mliyoifuala aliyoku;a nayo Nabii Muhammad ni ya haki, shikamaneni nayOj lakini sisi
hatuwezi kukosa ukubwa wetu.' Ndiyo Mwenyezi Mungu anawasimanga kwa Aya hii. .'
45· Ingawa maneno haya wanaambiwa Mayahaudi lakini yanawahusu walu WOIC kama ilivyo ada ya Quran.
Subira imesifiwa mara nyingi katika Quran. Mill akisubiri katika kuendelea na merna aliyoamrishwalTli katika
kuacha mabaya anayoyapenda, na akasubiri juu ya mashaka na tabu za ulimwenguni, bila shaka atafaulu ~uniani
na Akhera.
13