Page 30 - Quran inTakafitu
P. 30
UU I AL BAQARAH (2) AUF LAM MYM
57. Na tukakutilieni kivuli kwa mawingu
(mlipokuwa mnakata jangwa kutoka Misri kwenda
Sham) na tukakuteremshieni Manna na Salwa:
(tukakwambieni) "Kuleni katika vitu vizuri hivi
tulivyokuI'uzukuni.» Naohawakutudhulumu Sisi
(walipokhalifu amri Yetu) lakini walikuwa
wamejidhulumu nafsi zao (kwa huko kuacha kututii).
58. Na (kumbukeni khabari hii vile vile:)
Tuliposema: "Ingieni mji huu, na hurno kuleni kwa
maridhawa po pote mpendapo, na ingieni katika
mlangowake kwa kunyenyekea, na semeni.
"Tusamehe'dhambi zetu". Tutakusarneheni makosa
yenu, na tutawazidishia werna wale wafanyao wema.
59. (Lakini wale) waliodhulurnu (nafsi zao)
walibadili kauli isiyokuwa waliyoambiwa. (Badala ya
kuomba wasamehewe makosa yao na hawatafanya
tena,. ndipo walipozidi ubaya). (Kwa hivyo)
tukaiteremsha juu ya wale waliodhulumu adhabu
kubwa kutoka mbinguni kwa sababu ya kuasi kwao.
Na ziko Aya nyingine pia za kuonyesha miujiza ya kufufuliwa waliokufa. Wao Makadiyani wanasema kuwa
Quran imc;sema waliokufa hawafufuki mpaka Siku ya Kiyama. Lakini na Quran ndiyo iliyosema haya pia. Siyo
tuyafuate mengine katika Quran, na mengine luyatupe! Quran imesema kufufuliwa kwa viumbe wOle ni Akhera;
na imesema vile vile kuwa wachache kabisa - kwa ajili ya kuonyesha Miujiza - walifufuliwa hapa duniani kwa
muda mchache, kisha wakafa vile vile baada ya kuthibiti huo muujiza. Basi Iszima tuamini yote yanayoscmwa na
Quran.
Halafu hapo wakatoa slishhadi za uwongo za kuonyesha kuwa tamko Is maUli lina maana nyingine siyo kufa.
Wakasema ati tamko Is Mait lililomo katika Sura ya 50 (yaani Sural Qaf> halionyeshi kufa. Bali linaonyesha (I)
kukoma uweza wa kukua. Na hali ya kuwa wao wenyewe katika tafsiri yao katika Aya ya 12 ya Sura hii - kwa
mpango wao -wamefasiri: "Tukafufua mji uliokufa." Wakasema na tamko la Mittu lililomo katika Sura ya I II
(Sural Maryam) maana yake, kutokuwa na fahamu. Na hali ya kuwa wao wenyewe wamelifasiri katikaAya
waliyosema kuwa ni ya u. Walifasiri hivi: "Laili ningekufa kabla ya haya", Wakasema tena pia kuwa tamko la
maiti liIiIoko katika Sura ya 6 (yaani Suratul An·Am) kwenye Aya waliyosema ni ya 123 maana yake (a) kukosa
skill. Na wao wenyewe nafsi yao wameifasiri hapa kwa: "Je, a1iyekuwa maid kisha tukamhuisha"? Khalafu
wakasema kuwa lamko la mauli Iililomo kalika Sura ya 14 (yaani Sura! Ibrahim) kalika~ya waiiyosema ya 18
maana yake (4) Kuleinewa na huzuni, sikitiko au hofu. Na wao wenyewe wameifasiri hivi: uNa mauli yatamfdda..
.." Tena wakasema kuwa lamko la Amwal Iililomo katika Sura ya 3 (yaani A.a/i Imran) katika Aya waliyoila ya
170 maana yal«': kutokuwa na ucha Mungu au kufa kiroho, na wenyewe wameifasiri: uni wafu", Tena wakatoa
lafsiri· nyingine za uwongo wasizozilajia Aya za Quran, Lakini inawatosha hizaya kwa hizi walizozitajia Aya za
Quean. Wenyewe wakataja tafsiri za uwongo hapa, na walipozifasiri khasa katika mahala pake wakasaha\1'
Wakafasiri vile vile - kama wanavyofasiri wafasiri wengine - kwa kufa na kufufuka. Tazama Mwenyezi Mungu
a1ivyowahizi.
S7. Manna ni kitu kama asali kilichokuwa kinatoka katika miti waliyokuwa wakikutana nayo huko jangwll1i
iwe ndiyo kama asali au haluwa kwao. Na Salwa ni ndege waliokuwa wakiwajia kwa wingi kabisa humo· njiani, iii
wawachinje wawale pamoja na haluwa hiyo. Ndege hao wlkishabnli hawl ndel(e wanaoitwa 'tomboro'.
S8. Mji huo (au nchi hizo) ni hii Sham. Waliambiwa wende wakakaenchi hiyo, badala ya Misr, na waingie
kwa shuruti hizo; Iskini hawakuzitekeleza.
SII. ·lnaseIl!ekana kuwaadhabu yenyewe' ilikuwa ni tauni na walikufa chungu ya watu kwa ugonjwa huo.
IS