Page 25 - Quran inTakafitu
P. 25
UU I AL BAQARAH (2) AUF LAM MYM

n. Wanaovun;a ahadi ya Mwenyezi Mungu "~~M~~\~~~r~1

baada ya kuifunga na kuyakata aliyoamrisha ~;1 J J-,I." ",-I"""",.,?~t.(..:?)ol(i1"I.!-t.~.IwN!">AIl'\o,;;f4C;l~~~

Mwenyezi Mungu kuungwa, na kufanya ufisadi ® ~r>~;\ U;?)~h!

katika ardhi. Hao ndio wenye khasara.

28. Vipi mnamkanusha Mwenyezi Mungu, na /~
hali mlikuwa wafu, akakuhuisheni; kisha S ":;t..l;~!. ,,,,*?1,rJ~;""OIJt;~;'1;;'j>:.~-/('.:r.~t'..

atakufisheni; kisha atakuhuisheni; kisha kwake (.:)yt!'-y
mtarejeshwa (atakapokufufueni).
~l~.~~~ ~ti~~~~~
29. Yeye ndiye aliyekuumbieni vyote vilivyoRlo •9~-t'1"..". "n ".~..~~~~~~"~..".":1':1-'.11.J'1.,
katika ardhi (kabla hajakuumbeni iii mkute kila kim
tayari), tena akakusudia kuumba mbingu; na 4~~~~; &
akazifanya mbingu saba. Naye ndiye ajuaye kila t"
kitu.
.•UflS'\.~~'~-I"Y""~l"'.-.:r"',';l(.;~11~-);1~;J~~ "\....
30. (Wakunibushe watu khabari hii;) Wakati J>"
Mola wako alipowaambia Malaika: "Miminitaleta cl.i,.:5. ..tv..'?: J~"{~,~ ..~..V?~: ~1~"'.J;!:JIr\.;'\.I."J~
viumbe vyengine kukaa katika ardhi." (Nao ndio j1o.'!\(.\~lV\oI"~.~-t"......~.t,!lr~2;.. rJ :w. J{.. P':~J"""< ~"'"til
wanaadamu). Wakasema (Malaika): "Utaweka
humo watakaofanya uharibifu humo na kumwaga ;""I::Y..
damu, hali sisi tunakutukuza kwa sifa zako na
kukutaia kwa utakatifu wako?" Akasema (Mwenyezi E> ~~~(;fo1G1Jt1
Mungu): "Hakika Mimi nayajua msiyoyajua."

3 1. N a (M wenyezi Mungu) akamfundisha Y~~"'''''''':t'r?\ ~"~/.".',:;s;"'.')''.''J''':6'-V.0i~P~","(j,'\""/"'.~.J~\1~h"'
(Nabii) Adam majina ya vitu vyote, kisha akaviweka \t,~;j\\.:,;:I..~_~~,~.,-~;?!('(~,:J~":i'$t;1i,.G. :.'..V,\.i?-":y":;~~JA~
mbele ya Malaika, na akasema . (kuwaambia
Malaika): "Niambieni maiina ya vitu hivi ikiwa
mnasema kweli (kuwa nyinyi ndio wajuzi wa
mambo)."

hawawezi kumfukuza na kuwa (b) Anayewategemea ni kama buibui anayetegemea. nyumba yake ile isiyokuwa na
maana, Makafiri walisema "Mwenyezi Mungu na ukubwa wakewote huo atata;a mfano wa nzi na buibui?"

'Z1. Muradi wa kuvunja ahadi ya Mwenyezi Mungu hapa ni kule kumkadhibisha Mlume Muhammad baada
ya kumjua kuwlI ndiye ·Mlume a1iyebashiriwa kalika vilabu vyao. Basi hawa ndio anaowaachilia kupolea na walio
kama hawa kama ilivyo kalika aya 86 ya AI [mran, aya 17 ya Sural Ibrahim, aya 34 na 74 za SuralUl Muumin na
nyenginezo.

30. Aya hil inafahamisha kuwa kabla ya wanaadamu kulikuwa na viumbe wengine kalika ulimwengu lakini
Mwenyezi Mungu hakululajia jinsi yao na namna yao.

Amezua (Mkacliyani) kalika maelezo ya Aya walioifanya ni Aya 31 kuwa Nabil Adam huyu aliyelajwa kalika
Quran (a) siye asili ya wanaadamu sisi, na kuwa tb) yeye Adam ni kizazi eha chungu ya Maadamu chungu nzima
waliopita.

Na walipoikosa Aya ya kuipotoa katika ;ambo hili au Hadithi ya kuipotoa, na neno la mwanachuoni wa

kUlegemewa Ia ~ulipotoa katika jambo hili, wameta;a neno la Muhyiddin ibn Araby; na hali ya kuwa wanajua
kuwa hapana ruhusa kufuata maneno yaliyomo katika vitabu vya huyu Muhyiddin ibn Araby. Maneno ya
kufuatwa ni ya Sheikh Abubakr ibn Araby. Maneno ya Muhyiddin yanaitakidiwa kuwa yameingia ndani yake
maneno yasiyokuwa ya haki; kwa hivyo hapanahata· ruhusa ya kusoma eho chote kile kalika vitabu vyake.
Wanavyuoni welU wote wa kutegemewa wamesemahaya - na yeye mfasiriwa Makadiyani anajua, lakini anataka

tu kupoteza Waislamu.
Katika walioharimisha kusoma vitabu vya huyu Muhyiddin Araby ni bwana mkubwa kabisa na mtunga;i

mashuhuri mtegemewa - Sayyid Abdalla al Haddad. Aliyeyataja haya katika sahifa II ya kitabu chake mashuhuri
kinachokubaliwa ulimwengu mzima na kinachosomwa sana hapa pia, kinachoitwa Risalacul Muawana.

31. Wamesema - kwenye Aya waliofanya ya 31 - kuwa Al Asmaa, ni majina ya Mungu kama ilivyo katika

10
   20   21   22   23   24   25   26   27   28   29   30