Page 27 - Quran inTakafitu
P. 27
UU I AL BAQARAH (2) ALI F L.AM MYM

36. (Lakini) Shetani (yule Iblis adui yao) ~'-G' ~~(,/~~"'?<:ijf~,,1:'&1b..>.~llr'\+" J&~'<)IJ
aliwatelezesha wote wawili (wakakhalifu amri ile,
<'J'r:'~'''''J,?.NW•..."~:',/(1~( "-: '~\'I! '''II~''..!1~I''
wakala katika mti huo waliokatazwa) na akawatoa JI"'SJI

katika He (hali) waliyokuwa nayo. Tukawaambia:
"Nendeni, hali ya kuwa maadui nyinyi kwa nyinyi, I.,)J!J
na makazi yenu (sasa) katika ardhi, na (mtapata) ua. ~' ~~frh"~;'~j::"~»)
starehe humo kwa muda (makhususi)."
'0J ,. _~o , , .~;,y t:3'.(~)J,.;)IaJ,)V:";"""'":>".I!l\ r:.I.:.r(r.­~
3 7· Kisha Adam akapokea maneno (ya
maombi) kwa Mola wake, (akaomba), na Mola wake e~\y\j£lI
akapokea toba yake; hakika yeye ndiye mwingi wa
kupokea toba (kwa wenye kutubia) na Mwingi wa
kurehemu (kwa wanaostahiki kurehemewa. Anla
Iblis hakutubia kwa hivyo hakustahiki kurehemewa).

38. Tukaserna: "Shukeni hurno nyote; na kama ~!<,i.d~...\. j\"..j.~....r,"',~~. ;w;lt:Ji
ukikufikieni uwongQzi utokao kwangu, basi
watakaofuata uwongozi wangu huo haitakuwa khofu ~? .1(;~;';' }1j~IJJ,~,:.~1 tS$.bJJ
juu yao wala hawatahuzunika." et \,..1:l.,.....i, .~..../r~~.~!I.....

39. "Lakini wenye kukufuru na ~,,?~'( ~,1'"iI~\;t_0~" IY'J.~,V.J('./Jf!'-J-:~r'v::.3.";'k''"~\J

kuyakadhibisha maneno yetu, hao ndio ~ 6t,/\>~'\:~!v'.~1~~?r~(~>U{!,'I;~.

watakaokuwa watu wa Motoni, hurno watakaa 1'" \:~c"1~ .~:. '~'\f(1S!t'j1; :".".":,C--.-i"\,","~(y'~i\1(.>..H..~-"""".fl-i~~l.'l"
e .'.,;Jf/'~[)/,"""'if'.:;S(y.!'(y"J':~::-•';.''~;;1;.,,;.>;:~::I;,j\J/,"?i()"

milele. "

40. Enyi kizazi cha ISl'aili CNabii Yaaqub!
Yaani Ee Mayahudi!) Zikurnbukeni neema zangu
nilizokuneemesheni; na tekeleze.ni ahadi yangu (ya
kiIwa .akija Mturne rntamfuata), nitatekeleza ahadi

yenu (ya kukupeni Pepo); na niogopeni mimi tu.


katika kufasiri kwao. Basi kwa nini wasimtaie mmoia katika wafasiri hao kuwa yeye ndiye waliyemtegemea katika
kufasiri Shajarah kwa ugomvi? Wana yakini kuwa hakuna mfasiri mmoja katika hao na wcngineo aliyefasiri hivi.
Wotc hao wamefasiri Shajarah kuwa mti. Na vile vile wametaia maiina ya baadhi ya Maqamusi ambayo
yametungwa makusudi kwa ,kufasiri maneno yaliyomo katika Quran tu, kama hiyo Mufradat waliyoitaja. Na kama
Kalimatul Qllran na kama Majazul Quran, Kwa nini wasikitaje kimoja katika hivi kilichofasiri tamko hili la
Shajarah kuwa maana yake ugomvi? Wanajua yakini kuwa hapana mmoja aliyelifasiri tamko hilo kuwa maana yake
ugomvi. Kata;a kamus la Lane lisilokhusika na maana ya maneno ya Quran, bali Iimekhusika na maneno ya

Kiarabu tu. Na juu ya hivi huyo Lane hakusema tamko 13 Shajarah kwa Jimu yenye fat-ha kuwa maana yake

ugomvi. Makamus husema tamko la shajr (kwa Jimu yenye sukuni) ndiyo ugomvi. na wao wanajua kuwa hivi
ndivyo ilivyo katika hilo kamus la Lane kama Mak~mus mengine, kama vile Al Qamus, Al Munjid na mengineyo,
Lakini wamnaka tu kuwapoteza Waislamu makusudi. Hata lugha yetu ya Kiswahili inakuwa vivi hivi. Kwa
kugeuka IRABU inageuka maana. Kiti, KilO, Kitti ni zenye maana mbali mbali kabisa, na zote zina harufu zile
zile. na irabu. zile zile, ila ile irabu ya mwisho tu: Na vile vile Kati, Kiti na Koti, ile irabu ya mwanzo ndiyo
iliyopelekea kuwa maana mbali. Na vile vile Kuti na Kuru na KUla na hama na hema na homa, na chama na
chema na chuma. Wanajua hawa, lakini hamu yao kuwapoteza tu Waislamu na dini yao ya haki.

37. Maneno aliyopokea Adam kwa Mola Wake ni haya "Mola wetu! Tumedhulumu nafsi zetu; kama
hutusamehe na kuturehemu bila shaka tutakuwa miongoni mwa wenye khasara." Taz Sura 7 (AI Aaraf) Aya 23.

40. Neema walizoneemeshwa Mayahudi ni nyingi, Taz. Aya 47 na 49-50. Na hapa wanasemezwa kwa
mujibl1 wa itikadi zao wenyewe, wanaambiwa: Mnadai kuwa nyinyi ndio mlioneemeshwa na Mwenyezi Mungu:
basi jee, mbona mmezisahau neema zangu? Mnadai kuwa mmefanyiana ahadi na mimi: basi Mimi nimekwisha
kutimizieni ahadi yangu kwa kukUloweni katika nchi ya tabu na mashab, na kukupeni Kanaan, nchi yenye
"kllchuruzika maziwa na asali." Je nyiny~ mmetimiza vipi ahadi yenu?

12
   22   23   24   25   26   27   28   29   30   31   32