Page 32 - Quran inTakafitu
P. 32
UU I AL BAQARAH (2) AUF LAM MYM

63. Na (kumbukeni habari hii vile vile enyi
Mayahudi): Tulipotwaa ahadi yenu Cahadi ya wazee
wenu katika zama za Nabii Musa) na tukauinua
mlima juu yenu (tukakwambienD: "Kamateni kwa
nguvu haya tuliyokupeni na yakumbukeni yaliyomo
ndani yake iii mpate kuwa wacha Mungu."

64. Kisha mlikengeuka(mligeuka) baada ya
haya. Na lau kuwa si fadhila za Mwenyezi Mungu
juu yenu na rehema Zake, mngalikuwa miongoni
mwa wenye kukhasirika (daima).

6 S. N a kwa yakini mmekwisha kujua (khabari
za) wale walioasi miongoni: mwenu katika (amri ya
kuihishimu) Jumaamosi. Basi Tukawaambia:
"Kuweni manyani wadhalilifu."

66. Kwa hivyo tukaifanya (adhabu hiyo) kuwa
onyo kwa wale waliokuwa katika zama zao na
waliokuia nyuma yao, na (tukaifanya ni) mauidha
kwa wamchao Mwenyezi Mungu.

67.. Na (kumbukeni khabari hii pia enyi
Mayahudi:) . Musa alipowaambiawatu wake:
"Hakika Mwenyezi Mungu anakuamtisheni mchinje
ng'ombe." Wakasema: "Je ! Unatufanyia mzaha
(sasa)?" Akasema: "(La!) Najikinga !(wa Mwenyezi
Mungu kuwa miongoni mwa waiinga (wanaofanya
mizaha katika mambo ya dini)."

63. Mayahudi walipopewi ile Taurari walifanya ukaidi kuipokea. Mwenyezi Mungu akaliamrisha iabaH
liliIokuwa limezunguka mji ule Iinyanyuke juu Iiwafunike kama kiwinguj Iikanyanyuka namna hivyo, Iiko iuu ya
losi zao. Na wakaambiwa: "Kama hamlafuala, lilakuangukieni likusagenisageni." Hapo ndipo walipofuata; kisha
wakalupilia mbali.

Na hayo maelezo waliyoyaloa Makadiyani katika Aya walizozifanya ni za 64 na 66 wako wanavyuoni wachache '
kabisa waliosema hivyo. Basi kuilakidi hivyo si ukafiri.

65. Mayahudi walikalazwa katika dini yao kufanya kazi siku ya Jumaamosi-wawemo ibadani IU. Lall:ini
baadhi yao waIiasi, ima kwa ujanja au kinigaubaga (dhahiri bila ya kudanganya kwa kufanya ujanja wo wOle). Basi
Mwenyezi Mungu a1iwaadhibuwole waliokhalifu, hata waliokhalifu kwa ujanjaujanja.

Miongoni mwa hao waIiokhalifu kwa ujanja ni wavuvi wa samaki. WaIikuwa wakiweka maderna yao na kUlega
mazio yao laasiri ya Ijumaa, iii wanase Jumaamosi iii isipile bure siku hiyo ya Jumaamosi; iwe wameipalia f9i da ya
kilimwenguni japo kuwa wamekalaiwa. Basi wakenda wakiwachukua Jumaapili. Mwenyezi Mungu akawalia adabu
hii iliyolajwa katika Aya hii.

Basi na hao wanaodhulumu mali za walU kwa jina la 'Bayilkat-i' , , . na kwa niia nyingine za udanganyifu,
wanangojwa na adhabu kubwa kabisa ya Mwenyezi Mungu. Baadhi ya wanavyuoni wariasema kuwa si lazima
kuwa Mayahudi hao waligeuzwa manyani kwa sura. Inawezekana kuwa walipewa sifa za manyani tu, kama
unyonge wa daima, ukosefu wa ilimu, kufanya kila wanalolipenda japo halikubaliwi na akili, na kama hayo kalika
. sifa za. many ani.

67ยท Mlu mmoja katika zama za Nabii Musa aliuawa, asijulikane aliyelT)uua. Akaja akaulizwa Nabii Musa.
Mwenyezi Mungu akamletea Wahyi awarribie wachinje ng'ombe, kisha w~lwae mkia wa ng'ombe huyo, wamehap~
huyo mait'i; alafllfuka amlaje huyo aliyemuua, apale kulipwa kisasi ehake, Au akisha kuchiniwa waje watu
wanaoluhumiwa washikishwe ng'ombe huyo (kama kiapo). Atakayefazaika abanwe mpaka abainishe aliyeua. Na
pcngine alakiri kuwa yeye ndiye aIiYeua.

Nabil Musa aIipowajuvya khabari hii -waliona kuwa wanarushwa tu. Basi wakasbadidisbashadidisha. Na MungU
akawa.shadidishia. Hala wallpompala wa namna hiyo wakamchinja, taabu nyingi zilikuwa zimekwishawafika na
mali mengi yamekwishapotea.

11
   27   28   29   30   31   32   33   34   35   36   37