Page 37 - Quran inTakafitu
P. 37
_Z_U_U__I __________________~A~L~BAQARAH (2) AUF LAM MYM

92. "Na alikufikieni Musa na hoja zilizo ~,I\.~.j'.~o_J'~'\';~';'>,--;J;,:~,'w.I"~r\$'·".>~'t"!Y<"-:':"~,.:.-.l.A...i.J.:j'

waziwazi, kisha mkamfanya ndama (kuwa mungu) 'T" ,,,cvl.":"!J.I \,l.,..I..,.....~J,I~~

baada yake (baada ya kuondoka kwake), na mkawa ",).,~~\~It ~.,(j'".'~,'," r~.-:.»'~)/I''-/fv''~~r\l.J' w-f~"I·-,=')" ,'1\J'

madhalimu (wa nafsi zenu)." tw-.:..<...;-~, \y/lfU~ ',"~'"''I-' '~"'!~. ~!("'!~'~I'I'1".:.:-4 ,J,"~J

93. Na (kumbukeni khabari hii kadhalika:) •f.'.".4'l/y(~, ~1,.1\ fJJ'-M"" L"iIlY'}.V~:".i''"'­.I:i~l';;'.;.,

Tulipochukua . ahadi yenu (wazee wenu) na ~.0"~" Y•O~?~ tfo !.~'!j(")', .1 ·~''1~r,"}\~1~.}?;...?;\J~

tukauinua mlima juu yenu (tukakwambieni): ~t;.~hl;,~~g},:$'\~IJJ'?G ~~c,~S;
@~r("."i..-. ~SI#~'",,".'J1.,.:!1i.":!J,./.,<...tll1.J,.:i.f.N:: ~(' ~\r(C',;),.,J"..I"!)f ~\01
"~amateni kwa nguvu haya tUliyokupeni na

sikilizeni." W akasema: "Tunasikia na tunakataa."

Na wakanyweshwa nyoyoni mwao (mapenzi ya

··kuabudu) ndama kwa kufuru yao. Sema:"Ni kibaya

kabisa (kitendo hicho) kilichokuamrishieni. imani

yenu; mkiwa ni wenye kuamini."

94 .. Serna Ckuwaambia Mayahudi). "Ikiwa

nyumba ya Akhera hiyo iliyoko kwa Mwenyezi

Mungu ni yenu nyinyi tu bila ya watu wengine

(kama mnavyosema)j basi tamanini mauti kama

nyinyi ni wasema kweli". (Atakayesema: "Natamani

kufa" atakufa sasa hivi. Basi wakakataa kutamani

huko). ~(;([\i,,~ J)J~\ ~7 ,~~f ~?-~-»G.I{."/,.i(t;"";IvJ'.~":','-/'')'~1'&''J'

95. Wala hawatayatamani kabisa kwa sababu ya .... b

yale ambayo mikono yad imeyafanyaj na MwenYf'zi J

Mungu anawajua vyema madhalimu. . ..@~"",L:..

96. Na utawaona (Mayahudi) wana hamu ,:...,~ ~~~~Il~( ",,(1)1, :;';:"_:;')~:
kubwa ya kuishi kuliko watu wengine, na kuliko v,;'" ~J.. r...;-" """'" v-...,,--~!o- J
wale wamshirikishao Mungu Cwasioamini Akhera); ";A,~-,"-"",~'II' MftY::r'""","1,"~t~:.::)"~'.cJI~..,".""rl-i!'r:l.c':r,-l"J?:J'I'
kila mmoja katika wao amipenda apeweumri wa '~ r...:....r1~, .~,-:~, ~I"r:'" ;;~)
miaka elfu. Na,~huko kupewa kwake umri mwingi .~;."'t u\-:"ll
hakuwezi kumwondoshea adhabu; na Mwenyezi (;) ~'-4J .
Mungu anayaona (yote) wamlyoyafahya. "i.W
~"
97. Serna:" Anayemfanyia ushinde JibriI (kwa C..L!. :.9.. '(i;.). :~':"'f"..'.. iJ.~j?(i",JJiJ,:\J.... "
kuwa ndiye aliyemletea Utume Nabii Muhammad
asiwapelekee Mayahudi) (ni bure, hana kosa Jibril); :-r -:; :.4. 'l:C
hakika yeye ameiteremsha Quran moyoni mwako.
kwa idhini ya Mwenyezi Mungu (sio kafanya kwa ..,...
kupendelea kwake); (Quran) inayosadikisha yale r{..;J:Yt~"""<~V\'';! U1:';'',3''~T_ \J~ wJ / (;) \.!:::I \.:)" ~\l.
yaliyokuwa kabla yake, na ni uwongozi na khabari I..)'
njema kwa wanaoamini. 'L aJ.i~p ,...

98. Anayemfanyia ushinde Mwenyezi Mungu i$.)..JlJ
na Malaika wake na Mitume wake na Jibril na ~J7:"'!''' /-:;"'tj ~~....... J ~~ \­ ~.),,., ....
Mikail, (anatafuia kuangamia) kwani M wenyezi
Mungu atakuwa mshinde wa makafiri hao. (.;..';'X "

;1' .., J" ;J,I..­
@~~':::".};lJ

''...~\~l,~J... ~.1l)J-.''" ~..'t''J'rr''''' ~::.,;\J,~~)'...-"!\JrO"~"

@ \"':'',.!~:,l''~.J.3"y"i ")'"...:...~w,. ~\1. u~.. ,"..,..
i.:)');

atadhihiria Mtume. Ta:z.ama Marejezo 18: IS-19 na Johana 1:25·
Ama kusema kuwa hao Mayahudi walikuwa wakiomba kwa jaha ya Mtume n3 wakishinda maadui zao­

kuwa ndiyo muradi wa Aya hii-maneno haya hawakuyasema wale Wafasiri wa mwanzo kabisa (Sala!) wenye
kutegemewa, kama Imam Ibn Jarir. Tazama kwenye Juzuu ya pili ya tafsiri yake-iliyosherehewa na kina Shakir­
tangu sahifa 332 mpaka 33s-hutaiona tafsiri hiyo,Wala hawakuitaja vile vile wale Wafasiri wanaotegemea Hadiihi

22
   32   33   34   35   36   37   38   39   40   41   42