Page 39 - Quran inTakafitu
P. 39
UU I AL BAQARAU (21 AUF LAM MYM
103. N a lau wangeamini na kuogopa, bila shaka 9J~J \.~\~,. (;:)"'1·.~-A."."..;y''.:..t....J1\'j.A...·.J1:'J(t)'it'A'''f·f.VI'?' fy?'J....
malipo yatokayo kwa Mwenyezi Mungu yangekuwa
bora kwao. Laiti wangalijua. ~.t. C...I1 '~f -y-: ItVlr7y.1 ..~~,,.. I~t
104. Enyi mlioamini! Msiseme: "Raa'inaa" 1Y"'r.J-r'~,(:J\,'J;-',JAr-M'.~,~"It/!I::X'.i~"l\f""'.':&to:,.f\'jf"l
bali; semeni "Ndhurnaa";na sikilizeni (amri). Na @~"..\\ Y§ V,-:W'" I:'.:Xl::.~...,J;\i' lo~,~'/n"\~I:;~·1t~1
makafiri watapata adhabu inaYoumiza.
:r, ..J,.;.S'":J\ '-t\"'.".:'j ~~ \"7v,''";.(\'::.1H;,.}4J\ .t.,)J.o..:..!.
~
105. Hawapendi waliokufuru miongoni mwa
watu waliopew8 Kitabu (nao ni Mayahudi na ~!~_)<. ~;7 <'t; ?"~" .~, "!-...!~*'f-: ... f~{ 1 ., "', .",,~.~(':>~'''\
Manasara) wala washiiikina, mteremshiwe kheri UJ'\.:(.
kutoka kwa Mola wenu. Na Mwenyezi Mungu (:.I
humteremshia rehema zake amtakaye. Na Mwenyezi
Mungu ni Mwenye fadhila kubwa kabisa. .~~.-~:~.:;1~-'" ~;"':!",;; ~.(. ~4.l""U..I~'t,'"
r.::. ~~,1..:3, v\:>v...:--:".1\ ' ){ .IiJIJI,'
'Cf
106. Aya. yo yote tunayoifuta au kuisahauliza II,'r"~".t1~.. J'lr"~?i~,W.-~: S'":\r-):1~~!)1'·~""I"\~' ~~""l~(;
tunaleta Hiyo bora kuliko hiyo au iliyo mfano wake. ~fJ' <. ~ ;:. ~~'c.... 'l~ /:. \ "'I ~~ 1.'.1A' I
Hujui kwamba Mwenyezi Mungu anao uWeza juu ya
kila kitu? Pi!'" CJ I
r..r .wtC>.
v.Y
107. Hujui kwamba Mwenyezi Mungu ni • • ?-..;;\/ 9"I "'cIWI ~I1~1' ~1.1@" \ C""I"'\ ~;1' y,1: l.1(
mwenye ufalme wa mbingu na ardhi? Nanyi hamna
. mlinzi wala hamna msaidizi asiyekuwa Mwenyezi l,)f'JIJ J
Mungu. M '5?'®~ )~·1 )<1v,:/..A~~\ • ?J ~: ""~L-1~'!"J
,,"
<.;1))
97. Mayahudi, katika hila zao l3 kumkataa Mtume Muhammad, walimwuliza: "Malaika ganl anayekuletea
wahyi?" Mtume Akasema: "Jibril". Wakasema: "Lo! Huyo adui yetu, hatumtaki. Lau kuwa Malaika mwingine
ndiye anayekuletea Wahyi tungekufuata." ,Basi Mungu anawajibu hivi.
102. Suleiman aliyetajwa hapa ni Nabii Suleiman. Mayahudi wanamwitakidi Nabii Suleiman kuwa ni mfalme
aliyepata ufalme kwa uchawi, si Mtume. Basi na hawa wachawi wa Kiislamu humnasibishia Nabii Suleiman hizo
ilimu zao za uchawi. Basi MwenyeziMungu anamkanushia haya. Na Aya hii yaonesha wazl kuwa (a) uchawi ni
amali ya ukafiri (b) kuwa mchawl hawezi kumdhuru mtu ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu na (c) kuwa mchawi
mwenyewe anadhurika kwa uchawi wake.
Naanataia hapa Mwenyezi Mungu kuwa nyuma huko kabisa l\atika zama za ufalme mkubwa na ustaarabp
mkubwa wa Mababiloni (wakazi WII Iraqi wa zamani kabisa), Mwenyezi Mungu aliwaletea Malaika wawili -
Harut na Marut --kwa sura ya Kibinaadamu, na waldwaambia walu kuwa wao wanajua uchawi wa kila namna
- wa kuweka na kuondoa, wa kufarikisha pa wa kuungamanisha pa wa mengine. Lakini wakiwaambia vile vile,
"Hapana ruhusa kuiifundisha. Atakayekubali tumfundishe atakuwa kaflfi; huu ni mtmani mnaofanyiwa na
naMwenyezi Mungu; kama mlivyofanyiwa mtihani wa kupewa matamanio ya nafsi mtmani wa kushindana na
Ibilisi na kama hii. Basi huu mtihani. YazuiJieni matamanio yenu,msijifundishe." Lakini wapi! Walijifundisha.
·Basi huu uchawi ulioko mpaka sasa ni pepesi za uchawi huo. Mwenyezi Mungu anawafanyia viumbe vyake
mtihani namna kwa namna iii wadhihiri wema na wajulikane wabaya. Tazama aya ya 155 na 249 katika Suratul
Baqarah; na aya ya 166 ya Aali Imran, aya ya 94 ya Al Maida na nyenginezo.
Kwenye maelezo ya Aya waliyoifanya kuwa ni ya 103 wamesema kuwa Nabii Yusuf katika Aya walioifanya ya
32 katika Sura ya 12 (yaani Sural Yusuj) alisifiwa na wale wanawake - waliompenda - kwa siCa zil Umalaik.a
kwa ajili ya utawa wake. Na anajua huyo mfasiri wa Makadiyani kuwa wamemsifu hivyo kwa ajili ya Uzuri wake
uliopindukia mipaka, lakini wamefanya hiyi iii wapachikie wahavyotaka kuvipachikia tu kama ilivyo dastori yao.
104. Waislamu walikuwa wakati mwingine wakimwambia Mtume "Raainaa" (Yaani kuwaukituchullP
kama mchungaji mzuri anavyowachunga wanyama wake, kwani sisi ni wajinga, hatujui la madhara wala la
maslaha).
24