Page 34 - Quran inTakafitu
P. 34
UU I AL BAQARAH (2) AUF LAM MYM

75. Mnatumaini (nyinyi Waislamu)'ya kwamba

watakuaminini (hao Mayahudi); na hali baadhi yao .

walikuwa wanasikia maneno ya Mwenyezi Mungu,

kisha wanayabadili baada ya kuwa wameyafahamu;

na hali wanajua?

76. Na wanapokutana na wale walioamini

husema: "Tumeamini (kuwa kweli huyu Nabii

Muhammad Mtume wa haki, katajwa katika vitabu

vyetu)." Na wanapokuwa peke yao, wao kwa wao,

husema; "Mnawaambia (Waislamu)

aliyokufungulieni M wenyezi Mungu iii wapate,

kukuhojini mbeJe ya Mola wenu (kwa yaliyo katika

vitabu vya Mola wenu vilivyo kwenul (wakuhQjini

kwa kitabu kinachotoka kwa Mola wenu)? Hamna

akili?
. 77. (Mwenyezi Mungu anasema:) Hawajui ya

kwamba Mweriyezi Mungu anayajua wanayoyaficha

na' wanayoyadhihirisha?

78. Na wako miongoni mwao (hao Mayahudi)

watu wasiojua kusoma; hawajui (kusoma na

kufahamu) Kitabu (cha Mwenyezi Mungu; hawajui)

isipokuwa tamaa tu za upuuzi, nao hawana ila

kudhani lu.

79. Basi adhabu kali itawathibitikia

wanaoandika kitabu kwa mikono yao, kisha

wakasema: "Hiki ,kimetoka kwa Mwenyezi
Mungu!' (Wanasema uwongo huo) Ili wachukue

thamani ndogo ya kilimwengu. Basi ole wao kwa

yale waliyoyaandika kwa mikono yao (wakasingizia

kuwa ya Mungu). N a ole wao kwa yale

wanayoyachuma. P~f0i ,g;)~ ~~r~l)~II:ltJ\~tf;

80. Na walisema: "Hautatugusa Mota (wa ~~~ §~~I~Jj!~JI~

Jahannam) isipokuwa kwa siku chache tu." Sema: o ~;tJ~t,;~\~

"Je! Mmepata ahadi kwa Mwenyezi Mungu?

Kwa hivyo hatakhalifu ahadi yake. Au mnamsingizia

Mwenyezi Mungu mambo msiyoyajua."

75. Kwa kuwa Mayahudi ni watu WI kitabu (Taurall) ambacho kimetaja sira ya Nabil, Muhammad s.a.w.,


Mtume alikuwa akitaraji sana kuwa watamuamini na kumfuata, Kwa Aya hil Mwenyezi Mungu 'Anawatoa.tamaa


Mmme na Masahaba wake w3sitaraji kuwa Mayahudi wataamini, pamoja na kuwaonesha kuwa wao wametanguu,.


kufanya Makubwa zaidi ya hayo: yaani kubadilisha maneno ya Mwenyezi Mungu.


Mayahudi wamebadilisha manenoya Tauraci kwa kuondosha'matamko na kutia mengine, kwa kugeuza lafsi5i,


kwa kupunguza na kwa kuongeza pia. ­

76. Mayahudi walipokuwa wakimnafikia Mtume s.a.w. na wafuasi wake na wakiw~kubalia kuwa kweli MlUme


Muhammad s.a.w. katajwa katika 'Taurall, wenzao walikuwa wakiwalaumu kwa kule kuwafunulia Wijslamu


mambo ambayo Mayahudi wamewafikwna kuwa wayafiche. Basi'Mwenyezi Mungu Anawaiibu kwa Aya ifuwillayo


kw9Jtlba Yeye Anayajuwa wanayoyaficha na wanayoyadhihirisha. ,


80-82. Mayahudi, kwa kujilapa kuwa ni watukufu, kwa kule kunasibikana kwao na Mitume, walikuwa


wakidai kuwa hawalaadhibiwa iIla siku arubainitu ambazo wazee wao waliabudu ndama, Mwenyezi Muogu

Anawakadhibisha kwa Aya hizi kwamba yo yote alakayefanya maovu ataadhibiwa kwa maovu yakej na hapanr


lilakalomnusuru mlu i1a imani na amali njema.


19
   29   30   31   32   33   34   35   36   37   38   39