Page 29 - Quran inTakafitu
P. 29
UU 1 At. BAQARAH (2) AUF LAM MYM
50. Na (kumbukeni) tulipoitcnga bahari kwa r"'(i;.~-1 J/('!~''''1t; ~"UI~I j(' t:j,'..>.'.~}:,\.:,
aiili yenu na tukakuokoeni, na tukawazamisha watu
wa Firauni, na hali mkitazama. a:":\ I".;)"J')i.Q;'.!..:.J. ;,!.o.v?I'., ".l' /I'.t;")"Y~....U. ~l,
5I. Na (kumbukeni) tulipomwahidi Musa siku .e;;
arubaini, '(afanye ibada mfululizo, kisha tumpe
Taurati). Mkamfanya ndama (kuwa mungu) baada·· '?l"r!*vt"~·:~yI/J:~·~~,f~?)1'\~i".",9/ ",'...,y...,o¥
yake, na mkawa madhalimu (wa nafsi zenu). r... '7'" \ ~,
'.:).).J;;J
®0~;"7;1,kIt >P1,J,,!,,, ~~?0''?1~'1~7~\
52. Kisha tukakusameheni baada ya hayo, iIi €)i~,,f;.1)r!J..~~_..t"o'1-...."~':.~.-:.\\~)~.:.,;?~; ~\,\.I\..'.('"i,-~r~'-:;"'1""""">':'
mpate kushukuru;
~..I'(.";V)"1:';,...r>~.J'' -~'~I ," ~"'.I1\'i $"""'''"~-":" ~:":\' ~ I .
53. Na (kumbukeni) Tulipompa Musa Kitabu
(kilichokusanya kila wanayoyahitajia) na cha .:>).)
kupambanua baina ya yaliyo ya haki na yasiyokuwa
€l~,~
ya haki iii mpate kuongoka. ;c:\ J:...' ,~.!,~,1'>I~ -~'q,,\,~,~',:,-!""1:i "\~ ?l~
:,.0 U .).
54. Na (kumbukeni habari hii:) Musa
alipowaambia watu wake: HEnyi watu wangu! 'Y.'"F,.'.\.!.?..::\j~/()",.t\(I.JI"~'J;1 u"~.1">r'),:r.' ';7l1".~,jJ:I\(.;"W"'J-V'1
Haki\l;a nyinyi mmezidhulumu nafsi zenu kwa
kumfllnya kwenu ndama (kuwa mungu). Basj tubuni Y"~P"J:(r.!y(')~f... ~"J, y1\("J-1 ~~N~~t....I:!J(,>,"';~'\."\
kwa Mwumba Wenu (Mola wenu) na ziueni nafsi
zenu; haya ni bora kwenu mbe\!! ya Mwumba @ k1~;''1C\ y' \,~..~\ .".~'J 4A'S!(1..,"~'..~
wenu!' Basi akapokea toba yenu. Hakika Yeye
ndiye apokeaye toba na ndiye Mwenye kurehemu. /~ ;( i.\.:9: "..",~--\:t-.;:... ':1'yj;~(",":')\' 1S\"?.~"1Jq\'."...f.l~.1),}..'..
55. Na (kumbukeni habari hii pia:) Mliposema: .wI ~y
"Ewe Musa! Hatutakuamini mpaka tumwone
Mwenyezi Mungu waziwazi." Yakakunyakueni €J .I. ."l;:.)~~,.#~...7;"".1"~Nf_.!_~\\,~!(~~;~''.'''.1~,e,~,'?~,
mauti ya gha!1a (ya kukuueni mote wa radi), na hali
mnaona. . D5~ (... ;., ,)y;,;_~P. _~,,(<;;. ."....,''r9:.?T...". ~,~. . >7~", ,'r-i-l "?',.. ,-1.
56. Kisha tukakufufueni baada ya kufa kwenu,
ill mpate kushukuru.
50. Aya hii ni ya Kuwakumbusha Mayahudi wakati wazee wao walipokuwa wanatoka Misri kumkimbia
Firauni, Mwenyezi Mungu akawapasulia bahan wakapita kwa salama.
51. Aya hii ni ya kuwakumbusha ubaya wa wazee wao: Nabii Musa aliwaaga kuwa ataondoka muda wa siku
40, atakaporejea atawaletea Kitabu cha Sharia yao kinachotoka kwa Mwenyezi Mungu.
Basi baada ya siku cha,he to tangu kuondoka Nabii Musa waliacha kumwabudu Mwenyezi Mungu,
wakatengeneza ndama wa dhahabu wakawa wanamuabudu. Soma hadithi yao katika Sura Taa Haa 20: 87-97.
53. "Cha kupambanua", muradi wake ni ile miujiza aliyopewa Nabii Musa iliyopambanua baina ya haki na
bat iii.
54. Kwa makosa makubwa waliyofanya Mayahudi ya kuabudu ndama Mwenyezi Mungu Aliwapa adabu hii
ya kuuana wenyewe kwa wenyewc.
55. Kisa cha Mayahudi kutaka kumwona Mwenyezi Mungu waziwazi kinatajwa pia katika Talmud.
56. Wameivuruga Aya waliyoihisabu kuwa ni ya 57 Wakasema kuwa Hawakufa watu Iiao kisha wakafufuliwa
kwani wanaokufa hawafufuki mpaka siku ya Kiyama. Nao wanajua kwa yakini - na Waislamu wote wanajua kwa
yakini-kuwa katika Miujiza ya Nabii lsa ni kuwa alifufua baadhi ya waliokuwa wamekufa, kisha wakafa tena
papo hapo baada ya kuthibitika Muujiza huo mbele ya wote waliokuwa hapo. Mwenyezi Mungu ameilaja katika
Aya nyingi ~a Quran habari hii na kama hii~ kama Ava ya 49 ya Sural Aalt Imran (wao wameihisabu ya 50); nl
wameifasiri hivi:- "Na kuwahuisha wafu" ... na kama Aya ya 110 ya Suratul Maida (wao wameihisabu ya I II),
na wameifasiri hivi:- "Na ulipowatoa wafu."
14