Page 31 - Quran inTakafitu
P. 31
UU 1 AL BAQARAH (2) AUF LAM MYM

60, Na (kumbukeni khllbari hii nayo): Musa t:J.Y, #~ I ~ .~d".A..'':":I, a:Lt!J."~O J.:1.~I'~l1J-I.:'
alipoomba maji kwa ajili ya watu wake, tukasema:
"Lipige jiwe kwa fimbo yako;" Mara zikabubujika )rtf~.... "l, ...ti''~'' r~-i:<'ll"~~K? (:\~tt>: ~""..2'I!':'lrJ.....~.~

humo chemchem kumi na mbili; kila kabila ikajua
mahali pake pa kunywea. (Tukawaambia:) Kuleni na ..'""'? \". .I.PJ~ \)J~~JI'"y\./.II2.r~~vh.'i~.U";1IJ':r'(1,;P:;"''"'.'.I.~IJH."!I.


kunyweni katika riziki ya Mwenyezi Mungu, wala
msiasi katika ardhi mkafanya uharibifu . <9 (~.:):.:,~~U!"?)~I;";fr~~~"1~'J"1»~\


,,. . .r,-~.~~\~~~~i'.l1~"'""'~',~=",I1.S"''t'7'J'\''/'~'~-"..I)""'""

~.,. , 0~A... ~~. )91 .f"..~~i' i>'f1~,,~,I.)..

6 I. Na (kumbukeni khllbari hii kadhalika:)
Mliposema: "Ewe Musa! Hatuwezi kusubiri kwa

t:J t:Jchakula cha namna moja tu, basi tuombee kwa Mola
. .wako atutolee vile vinavyooteshwa

mboga zake na matango yake na
na ardhi, kama I~ .,'I:)·y::~tr,J~.r~-t J... ",...~(Y "-:......~f-:: J.,'· .~..r-::~"T'1''.....

ngano yake (au

thomu zake) na adesi zake na vitunguu vyake." 1~.:i)'1". ~\.., ~fl! '...\....~.~J:r.v,t.~b'Y:'I,.t,,./"l'l"~.~".t.'v'~'''I

Akasema (Mwenyezi Mungu): "Mnabadili vitu duni
kwa vile vilivyo bora? Nendeni kwenye mji, huko ..J-:~"t~' '"1\J'''·'.'"lu~-\'lJJ'..:~~f~~#,J.·.. I, ..:.. '~·1I".....tNr:U.!I('~-;



mtapata mlivyoviomba"; Na ikapigwa juu yao \'-t; '''''1'(".:'),~"".- lTU ;1r.-:'.\.~lI"o.'!:.\,1lJ1,~ .a,;.tI1! \'v'" '.II'I..~..,~.
'J; ;-: ,\',';I(.,;
/ .~
(chapa ya) dhila (unyonge) na umasikini;
nawakastahiki ghadhabu ya Mwenyezi Mungu: Na ,-.,,,.
r\..W.. ,*.i,.",.!'...:v.h.').·~~"" \~.7.'~.~-. ~• ~'~1"...\".......".~~t!.J-.!.'~..... .w, ~l ~v'It I!.
. haya ni kwa sababu walikuwa wakiyakataa maneno \~!!! ~"J",~1.:!:J"".'\'It.~).sJl'~''''''
. ya Mwenyezi Mungu, na wakiwauwa Manabii pasipo

haki. Basi haya ni kwa sababu ya kuasi kwao na

kupindukia mipaka (ya Mwenyezi Mungu).

62. Katika walioamini (Mitume ya zamani -L,;'_r.'"..:"<"i!-l'l!."'\.)'.1~",":.,~.,~:":f,l,"''\~?I'" ~~'>:I\"f, ('.!:)'I...
huko) na Mayahudi na Wakristo na Wasabai; yo
yote (miongoni mwao) atakayemwamini Mwenyezi jJ,.-~; .~J>ip2;;1: J(...i. uL.,~..~.,<::.r.'~~". !..'.

Mungu (sasa kama anavyosema Nabii Muhammad)
na akaamini siku ya mwisho na akafanya vitendo
1' lr "
U!<~\ ,'iI' .()I...... ,, ~"~~,,.,\-~-_-,',.~»,. ~,1.'(;'"1""tl.~
vizuri, basi watapata thawabu zao kwa Mola wao,
wala haitakuwa khofu juu yao, wala
6~ \",';..l~y~~ ~ .... [~~~O~J!".,A;:;;r-~
hawatahuzunika.


61. Muradi wa chakula cha namna moja ni ile Manna na Salwa. Hawataki tena. Sifa hii wanayo Mayahudi
mpaka leo. Hapana historia iliyojaa malalamiko kama yao. Hili linakubaliwa na wataalamu wote wa historia.

Na katika maasia makubwa waliyofanya Mayahudi ni kuwaua Manabii wa Mwenyezi Mungu kama Zakaria

(Zacharia) na YaI1ya (john); na wakataka kumwua Nabii Isa na Nabii Muhammad pia,


62. Muradi wa Aya hii ni kwamba jambo kubwa la kupatia merna na kuepuka khofu na huzuni za Siku ya
Kiyama ni kumwamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, na kufanya amali njema. Na hili halikuhusikana na
Waislamu peke yao, bali Iinawakusanya walu wa dini zote zilizotaiwa hapa, Makubwa katika mambo mema ni
kufuala Amri za Mwenyezi Mungu zilizobainiwa kalika vitabu vyake vitakalifu. Na miongoni mwa Amri zilizomo
katika vitabu vya Ma~ahudi na Wakrislo ni kumuamini MlUme mtukufu Muhammad s,a.w. Tazama Mareiezo 18:

17-19 na Johana 14: 19-26.
Wamepachika katika maelezo ya Aya walioihisabu kuwa ni ya 63 maneno ya uwongo haya: "Tukumbuke ya

kuwa Mtume s.a.w. pia a1itabiri ya kuwa Uislamu ulainuka lena kalika kuCaka kwa Masihi Aliyeahidiwa. Kuflka
kwa Seyyidna Ahmad, mwanzo wa karne hii ya 14, ya Hlira ... " Kwa .nim wasikitaiekitabu hicho?

Uwongo kabisa: Hakuna Hadithi hii katika kilabu cho chote kile kinachotaja Hadithi za Mlume. Hata wao juu

ya uzushi wao hawakujasirisha kukitaia kilabu hicho kisichokuwapo ulimwenguni. Basi, hamu yao Makadiyani

wawapoleze Waislamu wawe makafui Kila wanayoyafanya, lengo lao ni kuwafanya Waisiamu wawe makaflri.
   26   27   28   29   30   31   32   33   34   35   36