Page 26 - Quran inTakafitu
P. 26
UU I Al BAQARAH (2) \

AUF LAM MYM

32. Wakasema (Malaika): "Utakatifuni wako! ;&~\:;J.l~1·ti.~C~(l:J~9~lY~
Hatuna ilimu isipokuwa ile uliyotufundisha; bila '®~I
shaka wewe ndiye Mjuzi na ndiye Mwenye hikima."
(Mwenye kuweka kita kitu mahala pake).

33. Akasema (Mwenyezi Mungu): "Ewe
Adam! Wambie mlljina yake." Alipowaambia
majina yake alisema (Mwenyezi Mungu):
"Sikllkwambieni· kwamba mimi ninajlla sm za
mbingllni na za ardhi; tena najua mnayoyadhihirisha
na mliyokuwa mnayaficha?"

34. Na (wakumbllshe watu khabari hii):
Tulipowaambia Malaika:"Msujudieni Adam" (yaani
mwadhimisheni kwa ile ilimu yake aliyopewa).
Wakamsu;udia wote isipokuwa Iblis; akakataa na
aka;ivuna; na (tokea hapo) alikuwa katika makafiri;
(ila alichanganyika tu na Malaika).

35. Na tulisema (baada ya hapo kumwambia
Nabii Adam): "Ewe Adam! Kaa wewe na mkeo
katika bustani hii (Peponi); na kuleni humo
maridhawa po pote mpendapo, lakini msiukaribie
mti huu eu; msije kuwa miongoni mwa
waliodhulumu (nafsi zao kwa kukhalifu amri za
Mwenyezi Mungu).)}

Aya ya 180 ya sura ya Saba (yaani Suratul AaraJ Juzuu ya 9) yaani Walillahil Asmaul Husna. Tunawaambia
Itakuwaje Majina ya Mwenyezi Mungu kutandazwa yakadhihirishwa? Hayo ni majina ya vitu vyenye roho na
visivyokuwa na roho, vilivyowekwa mbele ya Nabil Adam akaambiwa avitaje. Na hivyo kutumiwa 'Him' badala ya
'Ha' ni kwa sababu vimechanganyika visivyokuwa na akili na vyenye akili. Na hii ndiyo dasturi ya lugha ya
Kiarabu. Labda hafahamu lugha barabara; anajua juu juu tu. Na hil ndiyo khatariya ilimu chache. llimu chache
udhia: Ilimu chaehe yadhuru. Na wanaona hapo imeandikwa 'Asmai huulai' ­ majina ya hawa. Iko wapi majina
ya Mwenye;d Mungu?

35. Mke wa Adam ni Hawwaa. Na Quran haikusema kwa uwazi namna alivyoumbwa. Na huo md pia
hatukuambiwa ni mti ganL

Wamevuruga Makadiyani Aya waliyoifanya ya 36 mahala pawili (I) Wam.:sema kuwa hakuwako Peponi Nabii
Adam hapo alipoumbwa wala mkewc--Bibi Hawwaa. Lakini 'waliumbwahapa ulimwenguni Babylon (Iraq au
Assyria) Na maneno yao khasa waliyoyatia katika hiyo lafsiri yao ni haya: "Hapa neno hili maana yake si Pepo bali
ni bustani ya hapa duniani ... Uchunguzi wa siku hizi umebainisha ya kuwa mahala alipowekwa Adamu nl katika
buslani ya Eden iliyokuwa karibu na &bylon kalika nehi ya Iraq au Assyria."

Tazama wanavyoipinga Quran dhahir shahir. Quran inas.:ma kalika Aya ya 36 Suratul Baqarah(wao
wameifanya, ya 37) na kalika Aya 24 ya Suratu[ AaraJ (ambayo wao wameifanya ya 25) na nyinginezo kuwa:
"Shukeni. Na kao lenu Iitakuwa katika ardhi" na slarehe yenu pia." Hapa Mwenyezi Mungu anasemll "Watoke
kwenye Pepo Wende katika ardhi". Wao Makadiyani wanasema kuwa waiikuwa papa hapa katika ardhi na Pepo
hii ilikuwa katika ardhi! Natutahadhari na kutolewa maanani na Makadiyani.

(2) Na mahala pa pili walipopaharjbu kusudi katika Aya hil ni kusema kuwa lile tamko la Shajarah
(mtDlinalosema 'Wa[aa Taqrabaa Hadhihish Shajara' (yaani Msiukurubie mti huu). Wana mambo mabaya.'
Hivi )'Idivyo waiivyosema Makadiyani na wakasema kuwa tafsiri hiyo wameitoa katika kamusi la Lane (yaani
Arabic English Lexicon by E.W. Lane).'

Tazama hamu yao hii ya kutaka kuwapoLCza Waislamu na dini yao ya hah Wanajitahidi kila namna kugeuza
tafsiti ya Quran, kama wanavyopoteza tafsiri ya Hadithi za Mtume na maneno ya wanavyuoni wa hakl. Mwanzo
wa tafsiri yao (viii) wametaja ehungu ya majina ya tafsiri za Quran kuonyesha kuwa wametegemea tafsiri hizo

II
   21   22   23   24   25   26   27   28   29   30   31