Page 22 - Quran inTakafitu
P. 22
liU I AL BAOARAH (2) AUF LAM MYM
5. Hao wako juu ya uwongozi utokao kwa
Mola wao, na hao ndio wenye kuongoka.
6. HlIkika wale waliokufuru (kwa ukaidi tu na
inadi) ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye;
hawataamini.
7. (Kama kwamba)' Mwenyezi Mungu
amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio
yao; na juu ya macho yao pana kifuniko; basi
watakuwa na adhabu kubwa.
8. Na katika watu, wako (wanafiki) wasemao:
"Tumemwamini Mwenyezi Mungu na, siku ya
mwisho"; na hali ya kuwa wao si wenye kuamini.
9. Wanatafuta kumdanganya Mwenyezi
Mungu na wale walioamini, lakini hawadanganyi ila
nafsi zao; nao hawatambui.
10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi
Mungu amewazidishia maradhi (kwa kuwa kila siku
yalikuwa yanaongezeka mambo mengine mengine ya
Kiislamu ya kuamini na ya kufanya; na ya kuwaudhi
kweli kweli). Basi watakuwa na adhabu iumizayo
kW3, sababu ya kule kusema kwao uwongo.
I I. Na wanapoambiwa: "Msifanye uharibifu
ulimwenguni." H usema: "Sisi ni watengezaji."
12. Hakika wao ndio waharibuji, lakini
hawatambui.
13. Na wanapoambiwa: "Aminini l<;ama
walivyoamini watu;' husema: "Oh! Tuamini kama
walivoamini wale wapurnbavu?" Hakika wao ndio
wapumbavu lakini hawajui.
Zimetajwa Aya namna hizi za kusema 'waliopewa Utume kabla yake' zaidi kuliko mara 20. Hapatupataja Robo
ya mara hizo:
I. Al Baqarah Aya ya 3
2. An Nisaa Aya ya 61, Aya ya 135 na Aya ya 161
3, Ash Shuura Aya ya 3
Nawatllonyeshe Makadiyani Aya moja IU inayosema: "Waamini - au wanaamini - yaliyoteremshwa BAADA
yake (Nabii Muhammad)" Hawataigunduwa kwani haipo Aya hiyo katika Quran, Basi kuamini hivi walivyozua wao
-- wakazua utume wa Mirza Ghulam -- ni ukafiri. Itikadi inayopinga itikadi tuliyoamrishiwa katika Quran ni ukafiri
safi kabis'l.
8. Katika Aya 3-5 Mwenyezi Mungu Amewataja wenye kuanini kweli, na katika Aya 6-7 Amewataja makafiri
kweli kweli. Sasa Anawataja "wanafiki" ambao wakiwa pamoja na Waislamu hujidai kuwa wa~ ni Waislamu, na
wakiwa pamoja Ita makafiri hukufuru pamoja nao, ,
13. Mayahudi w.llikuwa wakiwafanya wale Waislamu walioloka Makka wakatl>pa watu wa~ na mali yao,
wakahamia Madina kumfuata Mtume na kllhifadhi dini yao; na wale Waislamu wa Madina ambao waliwapokea
Waislamu wa Makka na kuwagawla mali yao, wakiwafanya wote ni wapumbavu.
7