Page 23 - Quran inTakafitu
P. 23
UU , AL BAQARAH (2) AUF LAM MVM

14. Na wanapokutana na walioamini husema: Jtt;U.\gJ ;'1\t(iYij~\\~JJ\ ~ 111;
"Tumeamini"; na wanapokuwa peke yao kwa
.mashetani wao husema: "Hakika sisi tu pamoja ,:J.::',(jf)i~(,--:" ),,~.,~~...,-t-.~t1,,,~lZfl,'/Jl' ~Yr,::-Y,,!~j;..,~~:SO,
nanyi, tunawacheza shere tu."
. . , j""". ' . _. . """" "t';OC\:I{"."'.~,,L.;.",'~'!','.','',~~'I'!>(J'~'~1";r.....'.;.~'.~'~·~"'#.~J,..#~.Ii"\,"II,
15. Mwenyezi Mungu atawalipa shere yao na
kuwawacha katika upotofu wao wakitangatanga ~)~tJ ;~::~"/1\~~I~U\ ~:,.:'i~\:I'"J:I.,1,
ovyo.
r\.':!>I. c""t, l!,,~~-!.!j,lJf-".':"=Ir."A'J-.;.~.1.".'.i-;v'~.~
16. Hao ndio waliokhiari upotofu kuliko
iJongofu; lakini biashata yao haikupata faida wala ~" ;~"~,,\ r~~(.~{ )\"Uf{ W":~:'''t'\ $~.'1'\ ~11:'"(~~"!:h::­
hawakuwa wenye kuongoka, ~, L-\ ,),."(l~.~"~'y~...1;"{!'7.'.Jb.t't<(AJA~I\ ~'" #)'\ <(.\1'J~J"'>r'~"'

17, Mfano wao (hawa wanafiki) ni kama mfano \~f!:".'I·•<.!I'J;~J..~~f
wa wale (wasafiri waliokumbwa na kiza) wakakoka
moto, (na) ulipowaonyesha yaliyo pembezoni mwao, A"J ,; !,,) ,,,, ~. ~.(..J
M wenyezi Mungu aliiondoa nuru yao hiyo na
kuwawacha katika viza; hawaoni. @H.:)-"'t'.Y.:
'" ~'-"', ,-: ~fit")
18. ,Viziwi, mabubu, vipofu; kwa hivyo
'J..\.. 7..J.. " X!i,,J';,~g)'-t't! ~,.M~"_1.':l\~' ¢w ~....J.......(I7"
hawatarejea,
19. Au (mfano wao pia) ni kama mvua kubwa )"..w:",.,.W(C~_I~I"f~X" ,'1)1\,;(" l7f.}f'"lt;.I;.:)1-"' ~..

itokayo mawinguni; ndani yake mkawa mna viza na ®~-"~.,. '! i'L-'II.. ~I!a'/J" J~J,"•.;>• ,''.'.'.'I.I
radi na umeme; wakawa wakitia vidole vyao
masikioni mwao kwa ajili ya mingurumo, kwa
kuogopa kufa; (na kufanya hivyo hakuwasaidii kitu).·
Na Mwenyezi Mungu anawajua vyema hao makafiri,

..20. Unakaribia umeme huo kunyakua macho ~fS;(;;lEJS';~t:a'!r\ ~(:;fJ\~~·
yao; kila unapowaangazia huenda ndani yake na
unapowafanyia giza husimama. Na Mwenyezi ..:r::"'fI!,7:W'~J,,!~i,':";",,1j"JJ",>1)P-::4U~ ~"""""'1 \",.,\~,
1)",JS:?:t""

Mungu ,ngependa angaliondoa kusikia. kwao na !'tJ.i::::'!~-~:';~"I (:jl.{~f~""~"l,'" r~r~--~~..:u
kuona kwao. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye t~9' ~,1.
uweza juu ya kila kitu. Ilf
®J1.~~~

2 I. Enyi watu! Mwabuduni Mola wenu ambaye ~.~.~01;~{('-(wi'5: , ~'~I-;!cc.¥')C"II'J,1~""V\''t!Jl~r"'-~..~.
amekuumbeni nyinyi na wale wa kabla yenu; iIi
®., I...,...(." "::.:!(').., '1p.!(~',"~: '~7
mpate .kuokoka "'~~\.... :~o"t~l~l~iJ'rw":"W",,'~.).. ';~;;;,'1, ~1((,')1II1l'"r.':.-s'?./:l1J1
22. (Mwenyezi Mungu) Ambaye amekufanyieni I?...~,-f...,lJ\ ~'""i't..I...(.".'';;-->lHU '.l$'l-"'"-"~'!\"t"o:O;:I,\ ~" J"!~.\r''

hii ardhi kuwa' kama busati (mliotandikiwa ®~\.:.,l."..".("","~"j,.JX'~iJ"'l ,-:; \:"J\w~~r ~! \~k~::'~~1~< ;¥'i ~1
mstarehe), na mbingu kuwa kama paa, na 'JJ,.
akatereQlsha maji kutoka mawinguni; na kwa hayo jI\J
akatoa matunda yawe riziki zenu. Basi msimfanyizie

Mwenyezi Mungu washirika, na hali nyinyi mnajua

(kuwa hana mshirika). .

14. Mashelani wao ni wale wakubwa wao waliokuwa wakiwapoteza. Na wamei~wa mashetani kwa sababu

mashetani ndio \Vanaopoleza \VatU.
17. Aya hizi zinaonyesha nafuu wanayoipala wanaflkf hapa ulimwc:nguni kwa unaflki wao. Na zinaonyesha

hali walaicayokuwa watakapokufa. Na pia ni mfano wao kwa kuacha kufuata nutu ya Uislamu wakaingia katika viza I

vya ukafiri. . .

19,20. Aya hizi zinaonyesha mfano wa wanaflki namna wanavyokuwa wanaposikia mawaidha namakamio ya

Quran. Zile hoja kali kall na utisho wa malipo mabaya watakayolipwa, walikuwa wakiona kama kiza na radi na

umc:mc:.
H. Quran haisemi kuwa ulimwengu umeulllbwa namna ra busati au tandiko kama wanavyodhania watu

8
   18   19   20   21   22   23   24   25   26   27   28