Page 36 - Quran inTakafitu
P. 36
UU I AL BAQARAH m AUF LAM MYM

tukawafuatisha Mitume (wengine) baada yake. na
tukampa Isa, mwana wa Mariamu, hoia zilizo

awaziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho mtakatifu
ibril). Basi (nyinyi Mayahudi kazi yenu ndiyo hii
tu:) Kila' walipokufikieni Mitume kwa yale
yasiyoyapenda nafsi zenu , mlijivuna, kundi moja
mkalikadhibishana kundi (jinginc) mkaliua!

88. Na walisema (alipokuja Nabii Muhammad

akawafundisha dini:) "Nyoyo zetu zimefunikwa

(hatufahamu unayoyasema)." (Nao ni waongo katika

maiidai hayo). Bali Mwenyezi Mungu amewalaani

kwa kufuru zao; kwa hivyo m kidogo tu

wanayoyaamini.

89. Na kilipowafikia (wakati wa Nabii

Muhammad hiki) Kitabu kitokacho kwa Mwenyezi

Mungu kisadikishacho yaliyo pamoja nao

Cwalikadhibisha); na zamani walikuwa

wakiwafungulia makaftri (khabari ya Mtume huyo).

Lakini yalipowafikia yale waliyokuwa wakiyajua

waliyakataa. Basi laana ya Mwenyezi Mungu iko juu

ya makafiri (hao). .

90. Kibaya kabisa walichouzia (starehe za) nafsi

zao (za Akhera) ni kule kukataa aliyoyaleremsha

Mwenyezi Mungu. (Wanakanusha hivyo) kwa ajili

ya kuona maya (husuda) kwa kuwa Mwenyezi

Mungu kawateremshia fadhila Zake awatakao katika

waja Wake (wasiokuwa MayahudD, Kwa hiyo

wakastahiki (kwa Mwenyezi Mungu) ghadhabti (tena

safari hii kwa kumkataa Nabii Muhammad) juu ya

ghadhabu (juu ya ghadhabuwalizoghadhibikiwa kwa

kuwapinga hao Mitume waliotangulia); na watakuwa

nayo makaflri (hao) adhabu ya kudha\ilisha.

91. Na wanapoambiwa (hao Mayahudi):
"Yaaminini aliyoyateremsha Mwenyezi Mungu,"
(kwa Nabii Muhammad) husema: "Tlinaamini
yaliyoteremshwa juu yetu (kwa Nabii Musa)"; na
huyakataa yasiyokuwa hayo. Na hali ya kuwa hii
(Quran) ndiyo haki inayosadikisha yale yaliyo
pamoja nao. Serna: "Mbona mliwaua Millime wa
Mwenyezi Mungu hapo zamani kama mlikuwa
mkiamini?"

UtatU (trinity). .

Katika mae1ezo ya Aya walioifanya kuwa ni ya 88 Makadiyani wamepachika hivi "Kama Nabii yo yo\e

akifika tumpime kwa juu ya mizani hii, je mambo anayoleta yanafurahikiwa sana na walu au yanakasirikiwa."

Wamepachika haya wampe Utume huyo Mirza Ghulam wao. Na sisi tumekwisha kubaimsha dhahir shahir..

ruliporejeza maelezo y3 kwenye Aya ya 4 SU>"aI!l/ 13!lqamil waliyoifanya Aya ya 5. Rejelea tulivyoyasema tlzKh

kuona uwongo wao na upolOfu wao.

89. Kabla ya kuja M!ume Muhammad s.a.w. Mayahudi walikuwa wakiwapa khabari Waarabu kuwa karibuni

21
   31   32   33   34   35   36   37   38   39   40   41