Page 41 - Quran inTakafitu
P. 41
UU I AL BAQARAH 01 AUF LAM MYM
.:al,S~~? ~'~~...\U~..
Watu hao haitawafalia kuingia hurno rnisikitini ila ;r~I~\b~ li J
kwa kuogopa. CYaani watieni adhabu kwa ubaya wao
huo hata wawe katika khofu). Hao watapata fedheha I.:)FI,;)
katika dunia, na katika Akhera watapata adhabu
kubwa. ,~l;
I 15. Na Mashariki na Magharibi ni ya Mwenyezi I,;'j.>;
Mungu. Basi rnahala po pote rngeukiapo L "Y'1j;5~~'~~1'.FJ'·~'I''C"1
(alikokuarnrisheni . Mwenyezi Mungu rntazikuta) tJ-I:II ~ ...0-'.&1''
huko radhi za Mwenyezi Mungu. Bila shaka
Mwenyezi Mungu ni Mwenye wasaa: (mkubwa "IN
kabisa) na Mwenye ku;ua (kukubwa kabisavile vile).
@~
l:r;'" J "..~.. .7,,,;.~;:..."J; ~y ~lh,.::'.) ~1'J:'';1"'',~w}-::J"\ ,J
@~ ~\, ~\ &t.Ju,
Wakaik05a Mayahudi fursa hii yakumtukana Mtume kipunjo mbele ya macho yake na mbele ya watu wake,
106. Baadhi ya Mifano ya hukumu zilizonasikhiwa (zilizofutwa) kwa hukumu nyingine ni ulevi. (a) Ulevi
ulikuwa halali kabla ya kuja Uislamu. Kisha ukaharimishwa nyakati za Sala. Kisha ukaharimishwa kabisa. (b) Sala
ilikuwa Asubuhi na Jioni IU. Kisha ikawa mara lano. (c) Katika kufunga ilikuwa pana khiari. Mtu akhaka atafunga
na akitaka atatoa sadaka YBchakula awape masikini badala ya kufunga. Kisha ikawa Jazima kufunga maadam hana
udhuru wo wote. .
Kwenye maelezo ya Aya walioihisabu kuwa ni ya 107 (na khasa ilivyo ni Aya 106) wamekanusha habari ya
Naskh, wakasema kuwa Aya za Quran hazipingani. Hapana shaka kuwa Aya za Quran hazipinJani. Lakini amri
rue - na khasa makatazo yake hazikuwa zikiamrisha ;ambo na kulikataza kwa ghalla. Lakini mara nyingi
huliamrisha kidogo kidogo na kulikataza kwa daraja - kidogo kidogo. Na hivi ndivyo kila mwenye hikima
anavyofanya. Na Mwenyezi Mungu kajisifu mara nyingi katika Quran kuwa ni Mweriye hikima na Mambo Yake
Yote anayafanya kwa Hikima. Na Kuamrisha kidogo kidogo na kukataza kidogo kidogo ndiyo Hikima. Na mifano
tulioitoa .katika maelezo ya Aya hii inatosha kuonyesha uwongo wa kukataa kwao Naskh. Na Aya hii ya 106
inaonyesha dhahiri haya wanayoyasema ulamaa wanaokubalisha Naskh.
108. Watu wa Nabii Musa walimfanyia vihendo vingi Nabii Musa-vya kumtaka hiki na hiki; hats walimtaka
(a) Amtake MwenyeziMungu Awasemeze na (b) Waonane naye. Basi na hawa makaflti wa Kiquresltiwalianza nao
kutaka kama hawa.
·1 14: Mtume .1IIipok.uwa Makka· Maqureshi wakiMzuilia asisali katika AI- Kaaba yeye wala watu wake. Na'
baada ya kuwa wako Madina walifunga safari kuja Makkakufanya ibada, Maqureshi wakawazuilia vile vile.
Maelezo yaliyo sahihi ya Aya walioifanya kuwa ni ya 1 IS (na hakika ni ya I 14) ni yale waliyoyatia mwanzo
kabisa katika maelezo ya Ayfl. walioifanya kuwa ni ya 116. Maelero waliyoyatia katika hiyo waliyoifanya kuwa ni ya
115 ni ya Propaganda tu ya dini yao - isiyokubaliwa na Uislamu. Dini yao wenyewe waliYoizua. Uislamu
haumkubalishii mtu kupewa Utume BAADA ya Nabii Muhammad. Natumekwisha kutaia habari hii katika
kurejeza mae1ezo ya Aya ya. 4 ya sura hii hii.
I IS. Wamepaehika ya uwongo tena katika maelezo ya Aya waliyoiflinya kuwa ni ya II6, nayo ni ya lIS.
Kwanza wamesema kuwa huyo Mirza Ghulam wao, aliyezaliwa Bara Hindi kwenye kilaa eha Kadiyan (Punjab);
aliyezaliwa na baba na mama wa Kihindi; akawak!> ulimwenguni kisha akafa kiasi eha miaka mia sasa. Wamesema
kuwa huyo' ndiye huyo Masihubni Maryam (Nabii Isa) aliyetajwa katika Quran na Hadithi za Mtumealiyezaliwa
Falastin (Palestine) na mama wa Kiisrail pasina baba, (kazaliwa kwa Muu;iza) ambaye aliishi ulimwenguni siku za
kuishikisha akaondoka k.iasi eha miaka alfu mbili sasa; na akasema Mlllme kuwa mwisho wa ulimwengu atarejea
kwa muujiza vile vile kama alivyozaliwa kwa muujiza na akaondoka kwa muujiza. Makadiyani wanasema katika hii
tafsiri yao kuwa Masihi aliyetajwa na Mwenyezi Mungu na MlUme ndiye Mirza Ghulam wao! Maneno haya ni ya '
kichaa na wazimu. Na ni wazimu mill kujibizana na wanaojitia - kusudi - kichu na wazimu, iii wawatie watu
wazimu. Wazimu utaambaa kichaka cha Uislamu,uwasawawe wao wenyewe tU.. Wanajitia wazimu makusudi na
pambani iii wawapambanize walu na dini yao ya haki! Watapambanika wabaranganyike wao wenyewe.
Pa pili walipopaongezea ni kusema kwao: "Mtume S.a.w. alisema ya kwamba katika wakati wa Masih-ul
Mawuud jus litakucha IOka Magharibi". Uwongo kabisa. Hakuna kabisa katika Hadithi za· Mtume tamko Ia
Masih ul-Mawuud. Hii ni tamko wanalompaehikia nalo huyo Ghulam wao. Tamko la Masih ul-Mawuud halimo
katika Quran wala Hadithi za Mlllme. Humo mna tamko la Masihu tupu. Au Masihubn Maryam. Na katika
Haqilhi za Mtume liko vile vile tamko la Masihud Dalial Potezaji kubwa litakalokuja mwisho wa ulimwengu.
26