Page 42 - Quran inTakafitu
P. 42
UU 1 AL BAQARAH (2) AUF LAM
116. Na (makafirD wanasema: "Mwenyezi
Mungu amejifanyia mtoto.", Ameepukana na hilo
(Mwenyezi Mungu); bali ni (viumbe) vyake (tu
vyote) hivyo vilivyomo mbinguni na ardhini (si
watote wake). Vyote vinamtii yeye (kwa utumwa).
II 7. CYeye ndiye) Muumba wa mbingu na ardhi
pasina ruwaza; na anapotaka ;ambo basi huliambia
tu, "Kuwa"; nalo huwa.
I 18. N'a walisema wale wasio;ua (kitu), (yaani
Makafiri wa Kiqureshi): "Mbona Mwenyezi Mungu
hasemi nasi au kutufikia ho;a (tunazozitaka)?"
Vivyo hivyo walisema wale waliokuwa kabla yao,
mfano wa kauli yaohii; nyoyo zao zimefanana.
Hakika Sisi tumezibainisha hoia (zetu zote;
zimewabainikia) kwa watu wenye kuyakinisha
mambo.
1 19. Hakika sisi tumekutuma ubainishe haki,
kwa kubashiri na kuonya, wala hutaulizwa watu wa
Motoni (kwa nini wakaingia Motoni).
110. Hawatakuwa radhi iuu yako Mayahudi wala
Wakristo mpaka ufuate mila yao. Sema: "Hakika
uwongozi wa Mwenyezi Mungu ndio uwongozi
(khasil)." Nakama ukifuata matamanio yao baada
ya yale yaliyokufikia ya ujuzi (wa kweli) hutapata
msaidizi yo yote wala mlinzi kwa Mwenyezi Mungu.
Il I. Wale (katika Ahlil Kitabu) tuliowapa
Kitabu (Taurati, Injili, Zaburi, . . . ) wakakisoma
Labda chanzo chake ni huyu mlu wao - Mirza Ghulam .- wanayemwita Masih ul-Mawuud. Basi uwongo
mpachiko wao huu. Hakutamka Mtume lamko hilo la Masihul Mawuud. Nawaluonyeshe Hadithi hiyo katika
Vitabu vya Hadilhi vya kutegemewa.
Mtume alisema kuwa mo;a kalika alama za kufika Kiyama ni kUloka jua Magharibi likachwa Mashariki, kama
alivyosema - na Mwenyezi Mungu pia - kuwa nyOla zilapukulika, bahari zilachanganyika, bahari zilawaka
moto, wanyama wO,te watakusanyika pamoia kwa khofu, Na kama haya. Na yakisha kufika haya hapalachukua'
muda. Mara ulimwengu utakwisha. Wao wanasema kuwa Jua ndilo limekwisha kuchomoza Magharibi kwa kuja
Mkadiyani wao huyo! Mbona basi ulimwengu haujesha? Na langu kuja Mkadiyani wao huyo ni kiasi cha miaka
Mia sasa. Uwongo! Walla nyuso kavu kweli kweli, zisizokuwa na Zaibaki hata chembe! Hawana haya kusenia
uwongo ulio dhahir shahir. Na kuzua uwongo wa ,dhahir shahir kama hivi ni alama ya kutoamini maneno ya
Mungu kama alivyosema Mwenyewe Mwenyezi Mungu kalika Aya ya 105 ya Suratun Nahl. Natutahadhari na
uwongo wao hawa ambao hamu yao ni kuwapoleza Waislamu. Wametoka kwao huko Bani Hindi kuja hukuÂ
na kwingineko - wawapoleze Waislamu IU. Na huko kujiila kwao waislamu ni kuiirembaremba tu iii wadhihirl
kuwa Waislamu, kama wanavyojiremba wacheza Kiluwa na Kumba na Kisonge na zilizo kama hizi. Na hao
, wacheza ngoma hiro wanafanya hayo kwa mchezo IU, sio kuwakhadaa watu. Lakini Makadiyani wanajitemba
hivyo kwa aiili ya kuwapoteza watu na dini yao ya haki.
Pa latu pa uwongo walipopapachika-haH ya kuwa macho ya walimwengu wOle yanawasula na kope
zinawasusuwika-ni kusema kwaa: uNa sasa katika zama Zl Masihi wake, Seyyidna Ahmad (walilia dua)'ulaenea
(yaani Uislamu) pande za magharibi yaani Vlaya na America."
Waongo wakubwa Makadiyani wapotezaji watu wajinga. Ati Uislamu umebashiriwa na Mwenyezi Mungu na
Mlumewe kuwa utaingia kidogo kidogo katika Vlaya na America katika zama za Ghulam wao, na hali ya kuwa
27