Page 10 - Quran inTakafitu
P. 10
sy amewashambulia watu hao pasi na kuwaonea imani yoyote. Ama wenye maoni haya
tunawaomba watalii kwa makini mas-ala haya kabla ya kukata shauri. Baada ya
kuyachunguza vilivyo, hawataweza kumwita Mirzai "Muislamu wa kwelt" ilhali watu hawa
wameukadhibisha mmo;a katika misingi ya Uislamu. Yaani, wao wame;izulia "mtume mpya"
aliyekuja baada ya Mtume Muhammad s.a.w. Je, watu hawa wamesoma Qurani na kuzingatia
adhabu kali itakayowapata wenye kuligeuza neno la Mwenyezi .\tungu kwa kufuata matakwa
yao wenyewe?
Mahali kama hapa yafaa kuta;a shauri lililokatwa mwezi 71 Septemba, 1974 na Serikali
ya Pakistani, nchi wakaapo .\1akadiyani wenyewe. Baraza zote mbili zilipasisha Mabadllisho
ya Katiba ya kukanusha Cislamu wa mm yoyote yule asjyeamim kuwa ,\\tume wa Mwisho
kabisa ni Muhammad s.a.w. au mwenye kudai utume baada ya ~abii .\\uhammad s.a.w. au
mwenye kumuamini huyo adaiye kuwa nj mtume au mUjadldj :mtengenezaii wa dini. Kwa
mujibu wa mabadilisho ya kifungu cha 106 cha Katiba, watu wa Kundi la Kadlyani na watu
wa Kundi Ia Lahore wenye kujita "Waahmadii" sasa wametiwa katika orodha \'a Jamii
zisizokuwa za Kiislamu.
Mambo haya yametokea mara tu kabla ya kupeleka chapa ya pill mtambom na kwa
hivyo Sheikh Abdulla Saleh Farsy alikuwa hawezi kubadilisha kwa namnaze sherehe yake
kulingana na hali ya Makadiyani huko kwao, ambayo pasj na shaka utakuwa nj mwanzo wa
kumalizika kwa madhahabi hayo ya upotevu. Dalili ya mvua ni mawingu '
Kazi ndefu ya kusoma muswada mara nyengine pamola na kUl::haplsha lena na
kutangaza tena haikuwezekana ila kwa msaada wa Mwenyezl Mungu. TunamUllmba awalipe
wote waliotusaidia katika kazi hii ya kheri kama alivyowalipa waia Wake wengme wa kheri.
Mwenyezi Mungu! Tutakabalie kama hao uhowatakabalia.
DR ,\toHA.\L\1AD SA YIED
KaliDu .\f.kl
THE ISLAMIC FOUNDATION,
P.o. BOX 30611,
NAIROBI, KENYA.
RAMADHAN 1394
xii