Page 7 - Quran inTakafitu
P. 7
MAELEZO YA MTANGAZAJI


Blsmtlia hlrRahmal1lrR ahym.

Amejaalia Mwenyezi Mungu ,\11Ukufu Kilabu Chake Kilukufu hiki kiwe ndicho cha

ujumbe wa mwisho unaolOka mbinguni. Na amekileremsha kwa huyu Mlume wa Mwisho

mbora wa .\1ilume wake Nabii Muhammad - .\1uongozi wa viumbe wOle.

1'\a ,\\wenyezi Mungu alileta Mitume Ambiyaa na Mitume .'-1ursalina kwa walU WOle,

baada ya kila muda, katika nchi mbali mbali; kama Mitume Mursalina hawa: Adamu, Nuhu,

Ibrahimu, hmaili, Is-haqi, Yauqubu, YU5ufu, Musa, Oaud, Suleiman, Yahya, Isa.

Na wengine akawateremshia Vilabu Vyake. Na ilivyokuwa Vilabu hivi wameleremshiwa

uma makhsusi na nyakati makhsusi basi havikusalimika mwish(1we - na miongezo na

migeuzo na mipachiko

Na hivvo Vllabu wanavyodai baadhl ya watu kuwa nl vya Mungu vimeteremka mbinguni

hawawezi watu hao kUllnesha kwa yakini na uhaklka zipi humn hizo sehemu za asH

zilizoteremka mbinguni na hizo zlhzoongezewa baadaye kauka zama mbah mbali.

Na ilivyokuwa Vitabu hivyo Mwenyezi Mungu kaviteremsha kwa haja za nyakati

makhsusl tu ndiyo maana asivihifadhi na kupotca. Ama Qurar.1 tukufu ameiteremsha juu ya

Mtume wa mwisho ambaye hakuletwa baada yake Mtume Nabi! walil Mlume Mursali. Wala

halaielwa. Na akakamilisha kwa Kilabu hiki kiwkufu dini yake ya haki na akalimiza kwa

Kilabu hiki neema .vake juu ,va watu wote na akaki;aalia lJwongozi na Mwangaza mpaka siku
~

ya Kiama.

SI haya tu basi, bali akaahidi kuwa atakihifadhi Kilabu Chake hlki - Qurani

hakitapunguzwa, hakitaongezwa na HArT AWEZEKAN A kupingwa wala kuonekana na

makosa, !a kwa vitabu vili\·yotangulia.

Na huu Msahafu tulionao uliotapakaa ulimwengu mzima, tunaweza kusema - bila ya

shalea yoyote wala kusitasita - kuwa haya ndiyo nafsi ya maneno aliyoyateremsha Mwenyezi

Mungu Subhanahuu Wataala kwa Mtume Wake Muhammad Sal/a Ilahu Alyhi I.¥'aahhy

Wasallam kwa kame kumi na nne na zaidi tangu leo. Basi kama ahvyoahidi kukihifadhi na

kukichunga Kitabu Chake hiki basi kitasalia kama kilivyo mpaka kije Kiama na ulimwengu

umalizike. Katika Aya 9 ya .';urarul Hljr Mwenyezi Mungu amesema:

"Hakika sisi ndio luhoteremsha mauidha haya (hii Qurani); na hakika SIS I NOlO

TUTAKAOYALINOA. "

Na kwa bahati mbaya umekuwa Uislamu sasa unaitakidiwa ni dini ya watu makhsusi ­

wenyewe Waislamu. Kwa hivyo inaitakidiwa Qurani kuwa ni Kitabu Kitakatifu cha Waislamu

na inaitakidiwa Nabii Muhammad ni Mtume wa Waislamu peke yao na Muongozi wao peke

yao.

Kuleta fikra hli na kuitangaza kunatokana na wasiokuwa Waislamu ima kwa madai yaa

tu juu ya dini hii au kwa uchache wa kujua kwao. Mwenyezi Mungu Amesema katika Kitabu

Chake cha mwisho kuwa Muhammad s.a.w. alikuwa si kama Mitume waliotangulia kwa

sababu ni yeye tu aliyeletwa kwa wanaadamu wote, na kabila zote, na rangi zote, na mataifa

yate. Katika Aya ya 158 ya AJ.Aaraj, Mwenyezi Mungu amesema:

"Serna (Ewe Nabii Muhammad): "Enyi watu' Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi

Mungu kwenu nyinyi nyote; (Mungu) ambaye anao ufalme wa mbingu na ardhi, hapana

aabudiwaye (kwa haki) ila yeye; yeye ndiye ahuishaye na ndiye afishaye. Basi Mwaminini

Mwenyezi .\-lungu na Mtume wake, aliye Nabii Ummy (asiyejua kusama wala kuandika), am-

ix
   2   3   4   5   6   7   8   9   10   11   12