Page 6 - Quran inTakafitu
P. 6
MAELEZO JUU YA CHAPA YA TANO


Bismillahir- Rahmallir- Rahl'm

Alhamdulillah! Tunamshukuru Mwen~e7i \1ungu kwa kutuwezeshakuendelea kukihu­

dumia Kitabu Chake kitukufu, \'a sa~a. k\\a furaha kubwa na shukraniza dhati kwa Allah

(5,W,). tunawaletea wasomaji wetu \\atukufu chapa ya tano ya Qurani Takatifu 7ikiwa

nakala 20,000, Kabla ya kuipeieka hii chapa ya tano mtamboni. tuliupitia upya Msahafu

wote, na tukasahihisha makosa tuliyoyagundua,


Sifa njema, utukufu na uwezo wote ni wa Allah (s,w,) aliyetuwezesha kutoa hii chapa ya

tano,


THE ISLAMIC F().lJ;-';DATIO~, DR, MOHAMMED SAYIED,

Katibu Mkuu.

P,O. Box 3061 L
Nairobi, Kenya,

27th Dhul- Hijjah, 1407 (2Ist.August, 1987)
   1   2   3   4   5   6   7   8   9   10   11