Page 8 - Quran inTakafitu
P. 8
e humwamini Mwenyezi Mungu na maneno yake. Na mfualeni yeye ili mpale kuongoka"
Na hakika wenyewc Waislamu wameregea kalika kutekeleza wajibu wao wa
kusimamisha shahada hu ya haki kwa walu wOle. Yawapasa Waislamu wOle kutangaza
Uislamu wa kweli kwa wanaadamu wOle. Haukuwa Uislamu kwa ajili ya watu maalumu wala
ukoo maalumu. Uislamu ni muangaza wenye uwongozi wa kiroho na kimaisha kwa
wanaadamu wote. Sasa imebaki kwa wale watakao kUJua hakl waitafute kwa kusoma Qurani
na kwa kufahamu yaliyomo ndani yake.
Kwani Qurani ni aliya ya kiroho waliopewa wanaadamu wOle na Mwenyezi Mungu,
wawe shirika sawa sawa. Na Qurani imesemeza watu wOle; haisemezi walU makhsusi. \\>'ala
haihusu uma makhsusi na kuufadhillsha kuliko uma mwengine, wala haiwainui hawa
ikawadidimiza wale. Qurani na Risala ya Mwenyezi Mungu kwa wanaadamu WOle iii iwape
SAADA wanaadamu WOle dalma mllcle.
Ujumbe wa Mwenyezi Mungu huu unasadikisha yote aliyoyaleremsha Mwenyezi Mungu
juu ya Ambiyaa wOle na Mursahna wOle langu Nabil Adamu mpaka Nabu lsa bin Maryamu
na unakamilisha ujumbe wao. Basi ujumbe wa Mwenyezi Mungu umekamilika kwa hiki
Kitabu cha MWISHO na Mlume wa MWISHO.
Na Waarabu walikuwa ndio watu wa mwanzo aliowasemesha; basi ikaleremka Qurani
kwa lugha ya Kiarabu; khalafu ifasiriwe kwa lugha nyengine ZOle. Akaambiwa kila mmoja
katika Waislamu apanie barabara kuufikisha huu ulingano wa haki kwa watu wOle wa ulimĀ
wengu wote.
Na tarekhe zinashuhudia kuwa Waislamu waliutekeleza wajibu huu kama inavyopasa na
wakaflkisha ujumbe wa Mwenyezi Mungu katika kila pembe miongozi mwa pembe za ulimĀ
wengu. Wakayafasiri maana ya maneno ya Qurani kwa lugha zote za ulimwengu zilizokuwa
zikijulikana zama hizo iIi wapate faida ya yaliyomo katika Qurani wale wasiojuwa lugha ya
Kiarabu; wafuate hukumu zake na amri zake na wajiepushe na makalazo yake hala
wafmyangike kwa sura inayopenda Uislamu wafinyangike.
Na katika lugha zilizo muhimu kabisa zinazotumika Mashariki ya Afrika ni lugha ya
Kiswabili inayosemwa na mamilioni ya watu huku. Na kwa bahati mbaya nchi hizi hazikupata
bahati ya kupata tafsiri ya Qurani ya kweli ya kutegemewa mpaka ikalangazwa chapa ya
kwanza ya Qurani Takatifu.
Na kwa bahati nzuri chama cha Islamic Foundation cha Nairobi kimepata kwa mara ya
tatu bahati hii ya kutowa hii lafsiri ya Qurani ya haki na ya kUlegemewa. Na hii ni fadhila ya
Mwenyezi Mungu anayompa anayemlaka.
Na hu tafsiri ya Qurani wanayoiloa Islamic Foundation kuwapa Waislamu wote
amcifasiri mmoja wa wale wanavyuoni wakubwa wanaojulikana mno Mashariki ya Afrika
nzima. Naye ni Sheikh Abdulla Saleh Farsy aliyekuwa Kadhi wa Zanzibar zamanlj na leo ni
Kadhi Mkuu wa Kenya yote nzima.
Na Sheikh wetu huyu aliifasiri hu Qurani kabla ya myaka 20 sasa; akachapisha juzuu
kumi na tano na sura nyengine mbali mbali.
Alipoona haya yule mwanachuoni mkubwa wa Ki- Pakistani Sayyid Abul A'ala
Mawdudy, aliazimia kulipokea yeye ;ambo hili na kuchapisha hii tafsiri ya Sheikh Abdulla
Saleh Farsy .
Basi Islamic Foundation ikaitabusha na kuitangaza kwa hima ya mwanachuoni mkubwa
huyu Sayyid Abul a'ala Mawdudy.
Na Sheikh Abdulla Saleh akaipitia tena tafsiri yake yote nzima kabla ya kutabiishwa
"