Page 9 - Quran inTakafitu
P. 9
pa ya pili na akaongeza ya kuongeza na akasafisha ya kusafisha kwa mwisho wa jitihada
yake ifl iwe na nafuu kubwa na kusahihika kabisa. Lakini kinachofanywa na mwanaadamu
hata kikiteogenezwa vipi muhali kusalimika na makosa. Al-Kamaalu Lillahi Rabbil Alamyn.

Sasa Islamic Foundation inamshukuru Mwenyezi Mungu sana sana kwa kuwaftkiwa
kutekeleza muhimu mkubwa kabisa huu. lnastahiki Islamic Foundation ishukuru sana sana
kwa kuwezeshwa na l\\wenyezi Mungu hap kwani hay .. ndiyo yanayotakiwa kweli kweli kwa
Waislamu kuyafanya.

Sasa namuomba Mwenyezi Mungu aaakabali k",ao amah hii na aijaalie imekhalisika na
iwe akiba yao ya kuwafaa duniani na Akhera.

Mpango wetu mwanlo kabisa ulikuwa hlvi; (a; Tafsiri na Maelezo na Mareiezo yawe ya
Sheikh Abdulla Saleh Farsy; :b) Na kiwepo kitangullZl kirefu mwanzo wa kila sura kilichoanĀ­
dikwa na Sayyid Abu] A'ala Mawdudy katlka tafslr! yake kwa ]ugha ya Kiurdu inayoitwa
Tafhymul Quran. Vifasinwe vitangulizl hlvyo kwa lugha ya Kiswahili; (c) Iweko katika
mwanzo wa tafsiri dibaji ndefu, yake yeye Sayyid Mawdudy ya kufahamisha mambo muhimu
yote yaliyohusiana na Qurani.

Katika mwaka wa 1969 wakali ilipochapishwa na kutangazwa chapa ya kwanza, Sayyid
Abul A'ala Mawdudy alikuwa hajaimaliza tafsiri yake ya Kiurdu, nasi tuliona bora IUsivitie
vitangulizi vile alivyokuwa ashaviandlka kama tulivyolaja katika (t>;; iii zisiwe baadhi ya sura

zina vilangulizi na baadhi ya sura hazina. Mwaka iana, Sayyid Mawdudy kwa Rehema ya
Mwenyezi Mungu aliweza kuimaliza lafsiri yake, lakini wakati huo lulikua tushaendelea sana
katika kupitia upya chapa ya pili na kwa hivyo kufisafiri hivyo vitangulizi vya Sayyid
Mawdudy kungetuakhirisha zaidi. Vile vile wasoma;i welu wamesubiri kwa muda mwingi
sana, basi tulikala shauri kutoakhirisha zaidi ulangulizi wa chapa ya pili. Sasa luna funha kwa
kuwa kazi yenyewe imekamilika, lakini vue vile lunasikitika kwa sababu hatukuweza
kuvitangaza hivyo vilangulizi vya mwanachuoni mlInshaa!lah, vitatangazwa katika chapa ya nne.

Ama hiyo diba;i tuliyoilaja katika,c: tumeilia kwani ina faida isiyokuwa na kiyasi katika
kufahamisha hakika ya Qurani na hakika ya ulingano wake na makusudio yake.

Katika chapa ya kwanza taliwaomba wasoma;i waluarifu makosa yoyole wanayoyaona
kalika tafsiri hii ya Qurani Iii yasahihishwe kalika chapa ya pili. Ijapokuwa tulipokea barua ya
kwanza wiki mbili IU baada ya kuitangaza, siku nyingi zilipila kabla ya kuletewa maoni mbali
mbali ya wasoma;i tuliyoyataraji. Na kwa ;umla wasomaji walipendezwa, lakini halulawata;a
wale waliolusaidia kuisahihisha chapa ya pili maana wataweza wenyewe kuyaona masahihisho
tuliyoyakubali. Tunawapa ahsanta kwa msaada huu wao.

Zaidi ya myaka miwili ilihilajika ili kuyapitia mashauri hayo ya wasomaji na mfasiri
amewasubiri nasi lunalaraji subira hii yake imevula kheri. Kazi yenyewe ilikuwa kubwa sana
wala haikutekelezwa isipokuwa kwa muawana wa Mwenyezi Mungu. La, sivyo, halungeweza
kuimaliza. Alhamdulillahi.

Kwa mara nyingine tafsiri ya Qurani imepatikana kwa lugha ya Kiswahili, safari bii
katika nakala 25,000 ambazo lumesubutu kuzichapisha na Inshaallah tUlalangaza na chapa ya
nne kalika siku zilakazo kUla, basi tunawaomba rena mutuarifu makosa yoyote muyaonayo au
neno lolole am balo tumeliacha.

Barua nyingi zimepokewa zenye ahsanla kwa sherehe iliyoandikwa na Sheikh Abdulla
Saleh Farsy ili kuweka wazi ilikadi ya Makadiyani na kuwatahadharisha jamii Islamu na
khatari ya fitina uiyozuliwa na madhahabi hayo. Baadhi ya wasomaji wamesema kuwa Sheikh

xi
   4   5   6   7   8   9   10   11   12   13   14